Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,135
Hili swali ungeliwekea na maksi zake mfano 12% au 15% hivi..Fafanua jinsi Mahela alivyokuwa biased pasipo kuepuka mazingatio ya sheria, maadili na weledi katika tasnia ya habari?
Hili swali ungeliwekea na maksi zake mfano 12% au 15% hivi..Fafanua jinsi Mahela alivyokuwa biased pasipo kuepuka mazingatio ya sheria, maadili na weledi katika tasnia ya habari?
KIUKWELI HUYU JMAA HATA SIJUI KWA NINI KAPEWA KIPINDI MAKINI KAMA KILE WAKATI YEYE MWENYEWE KWANZA HANA TONE OF INTEREST YA UTANGAZAJI,KWANI KUNA VITU ANAIFANYA KAMA MC WA SHEREHE BADALA YA KUWA MTANGAZAJI,ANAULIZA MASWALI AMBAYO HAYANA MASHIKO KABISA KWA WAGENI WAKE ,HAYANA TIJA KWA JAMII INAYOANGALIA HIKO KIPINDI,NAJIULIZAGA HUYU JMAA ANAGEKUWA BADO NI REPORTER ANGEFAA SANA ,HIYO KAZI YA KUKAA STUDIO NA KUTANGAZA INAWENYEWE WENYE HEKI,A YANI YEYE NI MKURUPUKAJI TUNimekua nikifuatilia kipindi hiki kinachorishwa na ITV maarufu Dakika 45. Huyu jamaa Sam Mahela wakati akifanya mahojiano na mwaalikwa asilimia 50% mzungumzaji ni Sam Mahela mwenyewe.
Katika maadili ya habari, hurubusiwi kutoa maoni yako hasa wakati wa kufanya mahojiano (un-opinionated). Huyu Mahela akiguswa tu Mfano Magufuli, utamsikia akimtetea kwa nguvu zote eti huyu Rais kaleta mabadiliko makubwa sana na mm nimefanya utafiti mikoa saba Tanzania na kwamba magufuli anakubalika.
Mfano katika kipindi cha leo akihojiana na Msigwa, huyu Mahela, alizungumza zaidi kuliko mualikwa, alijibizana nae kana kwamba yeye ni msemaji wa CCM au wa serikali ya Magufuli. Alimhakikishia kuwa Magufuli anakubalika sana na yeye alifanya tafiti na viongozi wa dini na vyama vya siasa vinamkubali. Pathetic.
Alienda mbali zaidi kwamba kila alichokua anasema Msigwa yeye humjibu "Wasema wewe, Mimi sijasema"! Sasa najiuliza huyu KANJANJA vipi, ama ni wakala wa CCM ndani ya DK 45 au anamfurahisha mfalme....
Wadau mtakumbuka aliekua anaendesha kipindi hiki huko nyuma ni Buhohela, na kwasasa amepata ugali wake (kazi) magogoni (Ikulu). Huyu Mahela naona nae amepatamani huko na sharti amfurahishe mfalme!
Huo ni Ukanjanja na njaa Kali...Aibu! Shame on you MAHELA.
Amemualika mtu halafu yeye anataka awe msemaji, kw mfn: "Mimi sikubaliani na wewe katika hilo. Siku 100 za JPM watu wote walimkubali....." au: "Hayo ni maoni yako......" nk.nk. Basi kama hivyo angejialika mwenyewe ahutubie kama kuhani kanisani.Sam Mahela leo umechemsha vibaya mno kwenye interview na Mchungaji Msigwa. Ulikuwa kama umejialika studio, umetumia muda mwingi kumbana host asifunguke.
Kama proffession journalist ulifanya makosa kuandaa maswali ambayo ulimbana sana host asiyajibu. Interview imekuwa bias mno, inashauliwa umuache source afunguke sio kama ulivyofanya.
Next time usimuite mtu ambaye unambanabana otherwise kipindi apewe mwingine.
Yuko MagogoniHivi yule Emanuel biolela aliyetembea na baba j kipind cha kampeni.ulishawahi msikia tena?
Uko sahihi jana alikuwa anatetea JPM, ulikuwa siyo wajibu wake kufanya hivyo. Yeyey ilibidi awe moderator na kuuliza maswali yenye logic (logical questions) and then wasilizaji wafanye deductions siyo yeye anafanya deductions! It was as if anamuuliza Msigwa maswali ambayo yeye ana majibu tayari ila anapima kama yanafanan na ya kwake!Kutafuta Ukuu wa W... kumeharibu fani ya uandishi wa habari Tanzania, ni mtazamo wangu..
Mjengoni karibu na FerryYupo wap?
Unachosha wasomaji kwa kuandika herufi kubwa. JiongezeKIUKWELI HUYU JMAA HATA SIJUI KWA NINI KAPEWA KIPINDI MAKINI KAMA KILE WAKATI YEYE MWENYEWE KWANZA HANA TONE OF INTEREST YA UTANGAZAJI,KWANI KUNA VITU ANAIFANYA KAMA MC WA SHEREHE BADALA YA KUWA MTANGAZAJI,ANAULIZA MASWALI AMBAYO HAYANA MASHIKO KABISA KWA WAGENI WAKE ,HAYANA TIJA KWA JAMII INAYOANGALIA HIKO KIPINDI,NAJIULIZAGA HUYU JMAA ANAGEKUWA BADO NI REPORTER ANGEFAA SANA ,HIYO KAZI YA KUKAA STUDIO NA KUTANGAZA INAWENYEWE WENYE HEKI,A YANI YEYE NI MKURUPUKAJI TU
kwa kweli hata mimi sikupenda jinsi alivyokiendesha kipindi hicho. Yaani alikuwa anamajibu yake tayari anayoyataka kutoka kwa hostSam Mahela leo umechemsha vibaya mno kwenye interview na Mchungaji Msigwa. Ulikuwa kama umejialika studio, umetumia muda mwingi kumbana host asifunguke.
Kama proffession journalist ulifanya makosa kuandaa maswali ambayo ulimbana sana host asiyajibu. Interview imekuwa bias mno, inashauliwa umuache source afunguke sio kama ulivyofanya.
Next time usimuite mtu ambaye unambanabana otherwise kipindi apewe mwingine.
Nadhani Mahela ni form 4 failure, Mungu nisamehe! Uandishi wa habari kama wa Zembwela kwenye Uswazi, you do not need any professionalism!Amemualika mtu halafu yeye anataka awe msemaji, kw mfn: "Mimi sikubaliani na wewe katika hilo. Siku 100 za JPM watu wote walimkubali....." au: "Hayo ni maoni yako......" nk.nk. Basi kama hivyo angejialika mwenyewe ahutubie kama kuhani kanisani.
mimi ni sam mahele..anarudisha shingo nyuma halafu anabinua mdomo kisha anasema... Wa ITV.Mahela mi simkubali hata kwenye kutangaza taarifa ya habar, na pia kwenye kureport habar anavyopinda shingo yake, sipend ase. pale bora wamuweke Spencer lameck