Salute kwa waliosoma PCB/PCM

Elezea zaidi kwenye juhudi na maarifa.
Kumuomba Mungu (kuna vitu vipo nje ya uwezo km afya,reality beyond nature), kujali afya ya mwili na akili,kuwa na nidhamu,uvumilivu,ratiba na kujali mambo ya msingi sio upo shule unahangaika na betting,
Kusoma kwa target(kumaliza syllabus mapema na kuielewa,ili upate muda mrefu kujinoa na maswali...hii hupelekea kukesha class .....angalizo,kukesha class sio kufaulu ni kuelewa na kukumbuka + kufikiri)
 
Kusoma sio raha sometimes kama hadithi za shigongo lazima uikane nafsi...shirikiana na wenzako wenye uwezo na nia ya kupass,vitu vingine unaweza usivielewe at once,komaa jaribu tena na tena kwa mbinu tofauti,bila kukata tamaa...wanafunzi wengi wanapoteza muda katika kuwaza wasivyovielewa na kuogopa kufeli badala ya kujipa moyo na walivyoelewa na kutafuta suluhu ya visivyoeleweka
 
Mida hiyo ya saa 11-12 nilikuwa napumzika kama wewe na pia nilikuwa nautumia muda huu vizuri kuwahi msosi jikoni ili nichukue toplayer..toplayer ni habari nyingine kabisa shuleni..

Sent using Jamii Forums mobile app
Toplayer......hii kitu nilikuwa nachukua alaf nasubir maharage ya mwisho nachanganya na top layer...aisee unakuwa hautaman kupata likizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahhhhh....mkuu asanteh...inaonekana tumematch kwenye techniques za kusoma....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa mvivu,tafuta rafiki asiye mvivu kwa lengo la kubadilika,usikae na wa level yako hautasogea,halafu kikubwa aim high (ukitaka div 2,somea div 1 kali) katika hili IMANI ni muhimu,kwani huwezi sotea usichokiamini...after all kuamini kwani shilingi ngap?amini,fanya then wait for the results(mimi olevel nilipata A moja tu ya Maths_necta!,PCM nilikuwa na AAA,form one,two,three sijawahi pata A ya maths ata weekly test,nlipofika f.4 kwa kuwa chem na phy nilikuwa nakimbiza shuleni nikasema lazima nisome PCM,nkamtafuta jamaaa yangu asiye mvivu tukawa tunasolve naye maswali kila siku,hatimae less than 20% tuliomaintain special nilikuwepo na huyo huyo msela wangu..wengine wataongezea
 
Ukishakimbilia CBG udaktari na kozi zote za afya unazipa mkono wa kwa heri!!!!!!!!!! Ila kozi nyingi za huko SUA ndo mahali pake!!!

Yaaah sure mzee nililijua hilo, hata hivyo sijutii kuwa zao la SOKOINE. [emoji28]
 
Sema katika nchi yetu nahisi walibahatisha maana mtu hawezi umiza kichwa high performance akawa bendera fuata upepo we wafutilie unaweza husiulize tena watu wanafikiria kutumia matumbo na sio kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaonekana ni jinsi gani ulivyo kilaza toka form 2 eti theory ya Newton hata hujui kutofautisha kati ya theory na law.Pole kwa hilo pia hujui kma kuna Theoretical and Practical Physics ukijua hvo vitu hautaandika huo upuuzi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisoma PCM sababu ilikuwa rahisi kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ukweli mmoja nilikutana nao katika soma soma yangu,hasa kwa vijana waliopita CoET. Hapa kwenye kipengele cha malengo,vijana wengi walikuwa hawasomi kwa malengo kwa maana kusoma fani ambazo walikuwa wanazipenda,wengi walikuwa wanasoma fani kulingana na matokeo yao,hapa hasa wadau waliosoma Telecom,au CIT kwa pale UDSM.

Huu utaratibu wa kusoma kwa kufuata matokeo umewaathiri vijana wengi sana na bila shaka wengi wanajuta.

Hii ilikuwa kila alie pata one kali anakimbilia Telecom au CIT,naimani zama Telecom na CIT zimekwisha siku hizi,zimerudi zile zama ukweli na umama wa fani za uhandisi. Hapa najua watanielewa wachache sana.

Ila Secular kizungumkuti sana....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kugundua bro haujawahi kuwa lengo la kusoma hata kwa hao wagunduzi. Yalitokea tu,ila lengo lilikuwa au ni kujua na kufanyia kazi kile unacho kijua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PCB kwa kweli sijawahi kukosa ajira na mwanza nilisoma ki udadisi tu lakini pia kuna job satisfaction.
Inaonekana wewe ni wa kitambo kidogo,kwani hata field ya uhandisi hasa umeme miaka hiyo iikuwa Tanesco walikuwa wanakuja CoET wanawachukua tu wahitimu wanaingia kazini. Zama zimebadilika sana siku hizi. Hali hiyo haipo tena siku hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…