Salute kwa First Lady?

SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,616
7,863
Hii imekaaje?
Picha%2Bno%2B2.jpg
 
Hajamwamini hata huyo mpambe wake nyuma ambebee hilo begi, first lady na bonge la begi.
 
Umesahau hii nchi ni ya Jk and his family? Ucshangae hapo akaja R1 na akapata saluti vile vile. Waache waenjoy vya mwisho mwisho manake siku zao zinahesabika.

hapo ni mkoa gani?, mbona FL anabebelea bag kubwa, kunani?, au ndo alienda kuchukua mgao wa mkulu huko machimboni?.
 
Askari Uhamiaji huyo! Hawaivishwi kijeshi. Nitashangaa iwapo hata JW atamsaluti
 
The political - public dichotomy in our country is extremely complicated and nonsensical by our own ignorance. Mpiga salute hajui kwa nn anaipiga japo anajua mtu stahili wa kumpigia, mpigiwa ndio kabisa hajui, ila kwa sababu amezoea asipopigiwa atamwambia kilaza mumewe kwamba hakupata "mapokeo" mazuri. Ni mbaya sana........
 
Huu ni upuuzi tena upuuzi uliokubuhu kumpigia saluti demu tena demu mwenyewe hana cheo chochote!!!! Hakianani watu kama sisi akina Dumelambegu tunajisikia hata kinyaa kuona mambo ya namna hiyo.
 
Umesahau hii nchi ni ya Jk and his family? Ucshangae hapo akaja R1 na akapata saluti vile vile. Waache waenjoy vya mwisho mwisho manake siku zao zinahesabika.

Mambo ovyo ovyo tu nchi hii,hivi kweli protokali imezingatiwa kufanya mambo km haya?Huyo afande si wa jeshi la anga?any way ni upuuzi mtupu.
 
Umesahau hii nchi ni ya Jk and his family? Ucshangae hapo akaja R1 na akapata saluti vile vile. Waache waenjoy vya mwisho mwisho manake siku zao zinahesabika.

muwe mnasoma na protocol sometimes, kama ipo kwenye katiba kuna tatizo gani kuwa practiced.
alafu, aliyekwambia askari anasalimia habari za leo ni nani. someni msikurupuke kuwadaganya wenzenu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom