Long time no see you ma brother
Zile chaleng za number kupima Iq zikawa hazionekani....piaaTrue.
Nimekuwa nikisumbuliwa sana na hawa unseen creatures bro tho napata muda mchache sana kuwa online napita tu mara moja moja mkuu.
Nimeku-miss sana bro itabidi nifanye nije mabibo makutano siku. Si upo hapo bado kiongozi..?.
Pole sana na karibu kwa kipindi kirefu nilikuwa Msata ila kwasasa niko mjiniTrue.
Nimekuwa nikisumbuliwa sana na hawa unseen creatures bro tho napata muda mchache sana kuwa online napita tu mara moja moja mkuu.
Nimeku-miss sana bro itabidi nifanye nije mabibo makutano siku. Si upo hapo bado kiongozi..?.
Pole sana na karibu kwa kipindi kirefu nilikuwa Msata ila kwasasa niko mjini