Saluni zetu(Barber shop) ni salama kiasi gani dhidi ya maambukizi ya Ukimwi?

kidadari

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
8,647
9,574
Kwa kweli jitihada za serekali kupambana na maabukizi ya ukimwi zimepungua tofauti na serikali ya Mh Mkapa ambapo zilionekana jitihada za dhahiri kuanzia hotuba za Raisi, matangazo, vipindi maalum vya redio na TV, matamasha n.k.

Kwa kipindi kile ilikuwa rahisi kuelimisha watu wasichangie vifaa kama nyembe na sindano maana uwepo sa salum za kisasa ulikuwa mdogo!

Kuibuka kwa saluni za kunyolea nywele na ndevu kuna usalama gani kwa watumiaji wasipate maambukizi ikitegemewa mashine ni moja ya vifaa vyenye ncha kali?
; vinyozi wa saluni hizi wana elimu ya kutosha jisnsi ya kudhibiti maabukizi zaidi?
 
Kwa kweli jitihada za serekali kupambana na maabukizi ya ukimwi zimepungua tofauti na serekali ya Mh Mkapa ambapo zilionekana jitihada za dhahiri kuanzia hotuba za Raisi, matangazo, vipindi maalum vya redio na TV, matamasha n.k.
Kwa kipindi kile ilikuwa rahisi kuelimisha watu wasichangie vifaa kama nyembe na sindano maana uwepo sa salum za kisasa ulikuwa mdogo!

; Kuibuka kwa saluni za kunyolea nywele na ndevu kuna usalama gani kwa watumiaji wasipate maambukizi ikitegemewa mashine ni moja ya vifaa venye ncha Kali?

Anza na wale dada poa kabla ya kufikiria saloon.
 
mashine ya kunyolea ikishawashwa tu inatoa joto ambalo kirusi wa ukimwi hawez kulimudu
 
Kwa kweli jitihada za serekali kupambana na maabukizi ya ukimwi zimepungua tofauti na serekali ya Mh Mkapa ambapo zilionekana jitihada za dhahiri kuanzia hotuba za Raisi, matangazo, vipindi maalum vya redio na TV, matamasha n.k.
Kwa kipindi kile ilikuwa rahisi kuelimisha watu wasichangie vifaa kama nyembe na sindano maana uwepo sa salum za kisasa ulikuwa mdogo!

; Kuibuka kwa saluni za kunyolea nywele na ndevu kuna usalama gani kwa watumiaji wasipate maambukizi ikitegemewa mashine ni moja ya vifaa venye ncha Kali?
; vinyozi wa saluni hizi wana elimu ya kutosha jisnsi ya kudhibiti maabukizi zaidi?

Kuna uwezekano saluni zinawekusbaza ukimwi.

Kuna tabia ya baadhi ya vinyozi kujaribu mashine ya kunyolea katika mkono wake wakati ananyoa,
 
Kirusi kina tabia ya kufa pale kinapokosa damu ambayo ndio kichoche cha uzimq wake ila pia kina Tabia ya kuwa hai pale inapopata damu...ni ndivyo ninanyojua
 
Kabla hujawa na wasiwasi zaidi ujue kwanza UKIMWI na homa ya ini vinaambukizwaje kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.

Kwa mfano je hizo machine za kunyolea huwa zinasababisha majeraha yaani vidonda vibichi? Je machine zinatumika kunyoa sehemu zenye majimaji yatokayo mwilini?

Wataalam wafafanue hapa jinsi ambavyo mtu anaweza kuwa kwenye hatari ya maambukizi ya UKIMWI na homa ya ini pindi unapohudumiwa saloon (Barber shop)
 
Kama saluni ingekuwa source ya maambukiz 50% ya watanz wangekuwa washa athirika..
Ila hatuna takwimu ni asilimia ngapi kati ta walioambukizwa walipata kwa ngono, kupewa damu,mashine za saloon nk. Chukua tahadhari kotekote Mkuu
 
mashine inaweza kunyoa watu 10 kwa siku let say una mshine 3 na una wasatani wawateja 30-60 kwa siku so kuna wastani wa mashine moja kunyoa watu 10-30.

pia kuna mashine ambazo wembe wake umenolewa kieenyeji hivyo kumuumiza mnyoaji na hata kusababisha vidonda
 
kuna mashine wembe wake umenolewa kienyeji hadi kusababisha vidonda!! hapo pakoje
 
mashine inaweza kunyoa watu 10 kwa siku let say una mshine 3 na una wasatani wawateja 30-60 kwa siku so kuna wastani wa mashine moja kunyoa watu 10-30.

pia kuna mashine ambazo wembe wake umenolewa kieenyeji hivyo kumuumiza mnyoaji na hata kusababisha vidonda
noted
 
Back
Top Bottom