Saluni za kike ni shule hatari kuliko zote

Saluni za kike ni shule hatari kuliko zote

Yani nimemnunulia kila kitu kuhusu urembo ili asiende salon na nikamwambia akitaka kutengeneza nywele mtengeneza nywele aje nyumbani nikiwepo...... amegoma. Nimepata hasara mana nimenunua drayer na vitu v yote vya urembo kwa ajili Yale lakini hajielewi nilichokiamua cmuulizi wala nn namuangalia tuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole sana Mkuu. Pole sana. Ni changamoto.
 
Yani nimemnunulia kila kitu kuhusu urembo ili asiend salon,na nikamwambia akitaka kutengeneza nywele mtengeneza nywele she nyumbn nikiwepo,amegoma.nimepata hasara mana nimenunua drayer na vitu v yote vya urembo kwa ajili Yale.lakini hajielew.nilichokiamua cmuulizi wala nn namuangalia tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe lazima Ni mwanaume Wa daslamu,huku wilayani hatuwezi bishiwa na wake zetu kihivo
 
Kuna mmoja anapenda sana kwenda saluni, nilimuuliza pesa unatoa wapi na kipato chake ni kidogo halafu ana mtoto? Akasema ni maarifa yake, yapi?? Nilimsihi ahamishe gharama ya nywele iende kwa mtoto , aliamua kunyoa nywele anapaka mafuta ya kawaida, kajuta kweli ameokoa pesa nyingi. Mpaka sasa umbea umepungua na anaishi na bwana wake vizuri. Kama una uwezo nenda saluni lakini muweke umbea pembeni. Nafuu mfanye mazungumzo yenye tija na sio ya kuharibu mahusiano ya watu
 
Back
Top Bottom