Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,803
- 95,692
Mweh!Nilimtegeshea tape recorder kwenye pochi yake.
Mweh!Nilimtegeshea tape recorder kwenye pochi yake.
kunguru hafugiki .. umesahau huu msemo, kama ungelikumbuka usingesumbukaYani nimemnunulia kila kitu kuhusu urembo ili asiend salon,na nikamwambia akitaka kutengeneza nywele mtengeneza nywele she nyumbn nikiwepo,amegoma.nimepata hasara mana nimenunua drayer na vitu v yote vya urembo kwa ajili Yale.lakini hajielew.nilichokiamua cmuulizi wala nn namuangalia tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkeo kurudi saa nne usiku huo ni uzembe wa kiwango kilicho tukuka.Nimejifunza wapi mke wangu amesomea hiki chuo cha kila aina ya tabia.akienda salon asbh kurudi saa 4 usiku
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh pole mkuuNimejifunza wapi mke wangu amesomea hiki chuo cha kila aina ya tabia.akienda salon asbh kurudi saa 4 usiku
Sent using Jamii Forums mobile app
Lengo ni kwenda kupata manenomaneno ya huko saluni unahalalisha kwa neno "uhuru",ukitaka uhuru usiolewe tu,utaishi kwa uhuru hata nyumba yako tu unaweza ukaigeuza saluni na sehemu za rafiki zako kutongozeana kama wafanyavyo baadhi ya wanawake ambao huombwa nawemzao wakakutanie sebuleni mwao ili waume zao wasishituke.Kwanini umfanye mkeo kuwa kuolewa na wewe ndiyo kama yuko gerezani?
Mbona wewe unaenda salon ya kiume kunyolewa?
Agongwe lakini asikamatwe,akikamatwa sisi wanaume huwa hatutabiriki kua tutafanya nini,fikiria kuhusu vifo vya wafumaniwaji japo huwa wake za watu wanahakikishia michepuko kua "nammudu we usiogope" lakini vifo hutokea.Nyumba yako ni gerezani hata mkeo asitoke.Akigongwa na mwendesha bodaboda ndiyo utajinyonga kabisa.

Bora apigwe na mashine za nje kwa hofu kuliko kupigwa hovyohovyo bila hofu ya mume kua ni mwangalifu.Siku utapigiwa na machine za nje ndiyo utajua kuwa unachokifanya hakina maana!!
Unafikiri Mke anachungwa kama mbuzi!?!
Tena wenyewe kuwalinda sana wake zao kama mbuzi ndani ya zizi wake hao hugongwa sana na vijana wa nje.Ushahidi ninao kabisa na kila siku ninaona hayo.Lengo ni kwenda kupata manenomaneno ya huko saluni unahalalisha kwa neno "uhuru",ukitaka uhuru usiolewe tu,utaishi kwa uhuru hata nyumba yako tu unaweza ukaigeuza saluni na sehemu za rafiki zako kutongozeana kama wafanyavyo baadhi ya wanawake ambao huombwa nawemzao wakakutanie sebuleni mwao ili waume zao wasishituke.
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Kama ivyongumu kwa asiye na HIV kufanya ngono na mwathirika, ndivyo ilivyo ngumu mwanamkke kushinda saluni na akabaki salama.Ni kweli ila za kuambiwa changanya na zako, ukiona mwanamke anabadilika kisa maneno ya kufundishwa saloon huyo wala hafai kwani inaonyesha jinsi gani hana akili yake mwenyewe wala hekima ni mtu wa kuongozwa na ya watu wengine