Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
Wakati mwingine unalazimika kuweka kando unazi, huyu kijana ambaye alikua majeruhi kwa muda mrefu ameiimarisha sana safu ya kiungo ya Yanga
Ajiongeze tu ............
- Anatumia AKILI NYINGI SANA
- Hakai na mipira
- Hana makeke uwanjani-mpira wa jukwaa
- Anajua wajibu wake
- Aende mbali
Ajiongeze tu ............
- Ajitahidii kupiga pasi za mwendo (through passes) kwani pasi zake nyingi ni square hivyo hazisaiidii timu kushambulia
- Wakati mwingine hujisahau uwanjani (concentration) hasa kwenye marking
- Ajitahidi asiwe mnyonge sana kwa kusema na wenzie au hata kufika kwa nguvu (total marking) nadhani bado ana uoga wa majeraha
