PreGE2025 Salum Mwalimu: CHAUMMA itaweka wagombea kwenye Kata na Majimbo yote ya uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Nyakijooga

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
427
Reaction score
666
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu amesema kwamba hawaogopi kukabiliana na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi Mkuu 2025 kwamba Chama hicho kitashiriki.
IMG-20250521-WA0007.jpg

IMG-20250521-WA0004.jpg

Amesema kwamba katika uchaguzi huo wataweka wagombea kwenye Kata na majimbo yote nchini, kwamba hawezi kuiacha CCM bila kupingwa au bila ushindani madhubuti.

Amewatangazia wote wenye nia za kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi Mkuu waanze kutangaza nia zao.

Aidha amesema kwamba Mei 30, 2025 wanatarajia kuzindua operesheni maalum Mkoani Mwanza kwa ajili ya kukijenga Chama, ambapo amesema kwamba kwa siku 16 watanzunguka mikoa yote nchini.

“Kuanzia Tarehe 30 Mei 2025,Tutakuwa na uzinduzi wa C4C itakayofanyika jijini Mwanza hivyo wanachama wote wa chaumma nendeni mkajiandae na Ujio wa ugeni huu tutapiga ziara angani na ardhini ” Katibu Mkuu Chaumma Tanzania,Salum Mwalimu.
20250521_154040.jpg
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu amesema kwamba hawaogopi kukabiliana na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi Mkuu 2025 kwamba Chama hicho kitashiriki.
View attachment 3341052

Pumbavu, anawajua nani? sema mtagawiwa viti
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu amesema kwamba hawaogopi kukabiliana na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi Mkuu 2025 kwamba Chama hicho kitashiriki.
View attachment 3341059
View attachment 3341052
Amesema kwamba katika uchaguzi huo wataweka wagombea kwenye Kata na majimbo yote nchini, kwamba hawezi kuiacha CCM bila kupingwa au bila ushindani madhubuti.

Amewatangazia wote wenye nia za kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi Mkuu waanze kutangaza nia zao.

Aidha amesema kwamba Mei 30, 2025 wanatarajia kuzindua operesheni maalum Mkoani Mwanza kwa ajili ya kukijenga Chama, ambapo amesema kwamba kwa siku 16 watanzunguka mikoa yote nchini.
wekeni, labda CCM wawapigie kura na vibegi vyao vya kura za wizi, sie tunajua hakuna uchaguzi
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu amesema kwamba hawaogopi kukabiliana na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi Mkuu 2025 kwamba Chama hicho kitashiriki.
View attachment 3341059
View attachment 3341052
Amesema kwamba katika uchaguzi huo wataweka wagombea kwenye Kata na majimbo yote nchini, kwamba hawezi kuiacha CCM bila kupingwa au bila ushindani madhubuti.

Amewatangazia wote wenye nia za kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi Mkuu waanze kutangaza nia zao.

Aidha amesema kwamba Mei 30, 2025 wanatarajia kuzindua operesheni maalum Mkoani Mwanza kwa ajili ya kukijenga Chama, ambapo amesema kwamba kwa siku 16 watanzunguka mikoa yote nchini.

“Kuanzia Tarehe 30 Mei 2025,Tutakuwa na uzinduzi wa C4C itakayofanyika jijini Mwanza hivyo wanachama wote wa chaumma nendeni mkajiandae na Ujio wa ugeni huu tutapiga ziara angani na ardhini ” Katibu Mkuu Chaumma Tanzania,Salum Mwalimu.
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu amesema kwamba hawaogopi kukabiliana na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi Mkuu 2025 kwamba Chama hicho kitashiriki😂😂😂😂
IMG-20250521-WA0059.jpg
 
Hahahaha, CDM imejengwa miaka zaidi ya 10, leo CHAUMA ndani ya miezi miwili inataka kuwa na nguvu yakusimamisha mgombea kila mahala hahahaha.

Inasikitisha pia hela zinavyochezewa ilihali huduma muhimu mahospitalini hakuna.
Hela za Chadema zihamia Chauma...

Unadhani mtu kama Hilda Newton anaweza kumudu gharama za Uchaguzi hata akipewa nafasi?
 
Hahahaha, CDM imejengwa miaka zaidi ya 10, leo CHAUMA ndani ya miezi miwili inataka kuwa na nguvu yakusimamisha mgombea kila mahala hahahaha.

Inasikitisha pia hela zinavyochezewa ilihali huduma muhimu mahospitalini hakuna.
Hawa jamaa wanafikiri , siasa ni mapambio sio, hii karata wamecheza ,wataambulia haibu kubwa mno
 
Wewe haujawahi Shiriki siasa ya Majukwaa unashindana na watu ambao waliokuwa wanatumika kukupangia nyimbo za Kuimba
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu amesema kwamba hawaogopi kukabiliana na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi Mkuu 2025 kwamba Chama hicho kitashiriki.
View attachment 3341059
View attachment 3341052
Amesema kwamba katika uchaguzi huo wataweka wagombea kwenye Kata na majimbo yote nchini, kwamba hawezi kuiacha CCM bila kupingwa au bila ushindani madhubuti.

Amewatangazia wote wenye nia za kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi Mkuu waanze kutangaza nia zao.

Aidha amesema kwamba Mei 30, 2025 wanatarajia kuzindua operesheni maalum Mkoani Mwanza kwa ajili ya kukijenga Chama, ambapo amesema kwamba kwa siku 16 watanzunguka mikoa yote nchini.

“Kuanzia Tarehe 30 Mei 2025,Tutakuwa na uzinduzi wa C4C itakayofanyika jijini Mwanza hivyo wanachama wote wa chaumma nendeni mkajiandae na Ujio wa ugeni huu tutapiga ziara angani na ardhini ” Katibu Mkuu Chaumma Tanzania,Salum Mwalimu.
View attachment 3341075
Mizaha kama hii inayofanyika kwenye hivi vyama vya upinzani ndiyo inayoifanya CCM ione shida kuondoka madarakani, CCM hawawezi kuondoka madarakani kama hizi comedy hazitafikia ukomo.
 
Back
Top Bottom