Jese Pinkman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 661
- 337
Naomba kuuliza, hivi salon za kiume especially pale mtu anapochongwa ndevu au kichwa hakuna uwezekano wa kupata virusi vya ukimwi kweli mana salon zetu za mitaani hakuna sterilization yani kinatoka kichwa kinaingia kichwa kama mtu ana virusi si hatari sana?
Naomba mwenye ufahamu aniambie
Naomba mwenye ufahamu aniambie