kagwima
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 1,310
- 1,672
Masupastaa Takataka haoBongo kuna masupastaa?
Watakua hawajitambui hao
Mabingwa wa kupewa ofa
Masupastaa Takataka haoBongo kuna masupastaa?
Watakua hawajitambui hao
Sasa badala ya kulalamika na kuongea maneno ya uzuni ni mda muafaka sasa ukafungua saloon yako then uka onyesha mfano wa kuwa jari wateja wao,ila kwa kulalamika huko hakuta badilisha lolote,na isitoshe ukiludi tena utabaguliwa.nasikitika kusema nimesikitishwa sana na treatment ya kibaguzi iliyokuwa wazi niliyoipata kwenye saloon hyo iliyosababisha niondoke hapo bila kupata huduma yoyote na kisa tuu sina jina kubwa ama sionekani kwenye magazeti kama wengi wa wateja wanaohudumiwa hapo. ambao wengi wao ni masupa star...
Ifike mahali watu wajifunze kua customer care ni muhimu mnooo tatizo watanzania tunashoboka na mastaa bei wote tunalipa sawa lakini akitokea celebrity utashangaa jinsi watakavyo kuignore wewe mteja wa kawaida... lakini hawaelewi kua si wote wanapenda kushow off ...kupanda bajaj sio sababu ya mimi kushindwa kuafford a good hair do if i want to...n if i cm in flats instead of a red sole painted heel or designer bag and flashy dress isnt the reason for u to judge me....treat yo customers equally...some of us dn like to show of bt we cn live and spend like a celebrity if we want to n we cn afford it....
Hata mimi najiuliza hilo swali.
Hongereni.kila sehem duniani kuna super star wake.. hata vijijini wana mastaa wao..
kibongo bongo kina wema sepetu, wolper, k lyn, ray wa maji, daimond na wengineo wengi ndio mastaa wetu hao
saloon zetu tanzania hatuna customer care wanahsobokea mastaa wakati hela zinalipwa sawa i think wasijudge mtu kwa nje unatakiwa uige ona maznat jamani she is the best good customer care amekuepo tokea lini ana moyo mzuri she is the best na anapamba balaaa