samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,478
- 24,250
Ha ha hadi morogoro? Sasa wanamnyoa nani huko moro?
Afande sele nini
JF bwana hatari sana...
Ha ha hadi morogoro? Sasa wanamnyoa nani huko moro?
Afande sele nini
Mi nilienda apo saloon nikaibiwa mizigo yangu tar 26 nov mwaka jana kuna dada mmoja tu ndo alinipa ushirikiano jaman yule dada mwenye saloon hana utu nilikasirika mnoo sitakaa nirudi ata sitakaa nimwambie mtu aende pale wezi sananasikitika kusema nimesikitishwa sana na treatment ya kibaguzi iliyokuwa wazi niliyoipata kwenye saloon hyo iliyosababisha niondoke hapo bila kupata huduma yoyote na kisa tuu sina jina kubwa ama sionekani kwenye magazeti kama wengi wa wateja wanaohudumiwa hapo. ambao wengi wao ni masupa star...
Ifike mahali watu wajifunze kua customer care ni muhimu mnooo tatizo watanzania tunashoboka na mastaa bei wote tunalipa sawa lakini akitokea celebrity utashangaa jinsi watakavyo kuignore wewe mteja wa kawaida... lakini hawaelewi kua si wote wanapenda kushow off ...kupanda bajaj sio sababu ya mimi kushindwa kuafford a good hair do if i want to...n if i cm in flats instead of a red sole painted heel or designer bag and flashy dress isnt the reason for u to judge me....treat yo customers equally...some of us dn like to show of bt we cn live and spend like a celebrity if we want to n we cn afford it....
tatizo lenu mnapenda vitu vya anasa ndio mshahara wake huo yabidi mvumilie sasa.
mm mambo ya kipumbavu huwa sifagilii natoa pesa sihudumiwi bule .
nakifika naulizia Huduma kama unazingua nasepa naenda sehem nyingine.
mm najua tu hapo kama nikidume ulitaka kwenda kuoshwa nakushikwa shikwa na hao wahudum wa kike sisi wengine upuuzi huo hatuufagilii kabisaa ninyoe basi mambo ya kuanza kushikana shikana kama matahira no. mda mwingine muwe mnajitambua na kujithamini sio mnakuwa kama misukule
umeanza kuharibu apo ulipoanza kuandika kizungunasikitika kusema nimesikitishwa sana na treatment ya kibaguzi iliyokuwa wazi niliyoipata kwenye saloon hyo iliyosababisha niondoke hapo bila kupata huduma yoyote na kisa tuu sina jina kubwa ama sionekani kwenye magazeti kama wengi wa wateja wanaohudumiwa hapo. ambao wengi wao ni masupa star...
Ifike mahali watu wajifunze kua customer care ni muhimu mnooo tatizo watanzania tunashoboka na mastaa bei wote tunalipa sawa lakini akitokea celebrity utashangaa jinsi watakavyo kuignore wewe mteja wa kawaida... lakini hawaelewi kua si wote wanapenda kushow off ...kupanda bajaj sio sababu ya mimi kushindwa kuafford a good hair do if i want to...n if i cm in flats instead of a red sole painted heel or designer bag and flashy dress isnt the reason for u to judge me....treat yo customers equally...some of us dn like to show of bt we cn live and spend like a celebrity if we want to n we cn afford it....
some are equal but some are more equal than others....
Kama huduma hiyo unaweza kuipata sehemu nyingine kwanini huende hapo..., binafsi mimi nina kinyozi wangu tena nina namba zake za simu kabla sijaenda ninampigia kumuuliza kama hayupo busy alafu sababu yuko uswazi na ananyoa kwa buku mimi nikienda nikimtoa buku mbili saafiiii yaani ni among his top customers;
tatizo unavamia viwanja vya watuhawajakuignore bali automaticall u dont deserve to be there wewe nenda zako mwananyamala kwa saiz yakohapo unapwelepetanasikitika kusema nimesikitishwa sana na treatment ya kibaguzi iliyokuwa wazi niliyoipata kwenye saloon hyo iliyosababisha niondoke hapo bila kupata huduma yoyote na kisa tuu sina jina kubwa ama sionekani kwenye magazeti kama wengi wa wateja wanaohudumiwa hapo. ambao wengi wao ni masupa star...
Ifike mahali watu wajifunze kua customer care ni muhimu mnooo tatizo watanzania tunashoboka na mastaa bei wote tunalipa sawa lakini akitokea celebrity utashangaa jinsi watakavyo kuignore wewe mteja wa kawaida... lakini hawaelewi kua si wote wanapenda kushow off ...kupanda bajaj sio sababu ya mimi kushindwa kuafford a good hair do if i want to...n if i cm in flats instead of a red sole painted heel or designer bag and flashy dress isnt the reason for u to judge me....treat yo customers equally...some of us dn like to show of bt we cn live and spend like a celebrity if we want to n we cn afford it....
Nenda saloon ya class yako wacha kulalamika ovyo..nasikitika kusema nimesikitishwa sana na treatment ya kibaguzi iliyokuwa wazi niliyoipata kwenye saloon hyo iliyosababisha niondoke hapo bila kupata huduma yoyote na kisa tuu sina jina kubwa ama sionekani kwenye magazeti kama wengi wa wateja wanaohudumiwa hapo. ambao wengi wao ni masupa star...
Ifike mahali watu wajifunze kua customer care ni muhimu mnooo tatizo watanzania tunashoboka na mastaa bei wote tunalipa sawa lakini akitokea celebrity utashangaa jinsi watakavyo kuignore wewe mteja wa kawaida... lakini hawaelewi kua si wote wanapenda kushow off ...kupanda bajaj sio sababu ya mimi kushindwa kuafford a good hair do if i want to...n if i cm in flats instead of a red sole painted heel or designer bag and flashy dress isnt the reason for u to judge me....treat yo customers equally...some of us dn like to show of bt we cn live and spend like a celebrity if we want to n we cn afford it....
Celebrity gani Tanzania? au hayo yanofanya sinema zisizo na kichwa wala miguu,i mean yale makandemba mashamba yanayo jidai eti you know,my baby,zis zat,ze samtainz,ze ai lavu yuu,yaani full ushuzi.nasikitika kusema nimesikitishwa sana na treatment ya kibaguzi iliyokuwa wazi niliyoipata kwenye saloon hyo iliyosababisha niondoke hapo bila kupata huduma yoyote na kisa tuu sina jina kubwa ama sionekani kwenye magazeti kama wengi wa wateja wanaohudumiwa hapo. ambao wengi wao ni masupa star...
Ifike mahali watu wajifunze kua customer care ni muhimu mnooo tatizo watanzania tunashoboka na mastaa bei wote tunalipa sawa lakini akitokea celebrity utashangaa jinsi watakavyo kuignore wewe mteja wa kawaida... lakini hawaelewi kua si wote wanapenda kushow off ...kupanda bajaj sio sababu ya mimi kushindwa kuafford a good hair do if i want to...n if i cm in flats instead of a red sole painted heel or designer bag and flashy dress isnt the reason for u to judge me....treat yo customers equally...some of us dn like to show of bt we cn live and spend like a celebrity if we want to n we cn afford it....
Hata mbinguni pepo ina madaraja, inawezekana waliona umepotea njia. Tafuta daraja lako
Hata mimi najiuliza hilo swali.Bongo kuna masupastaa?
Watakua hawajitambui hao
Masupa starz bongo wapo. Hata ukienda vijijini wapo wa kijiji, mkoani wapo masupa staa wa mkoa na wataifa pia wapo, hata hapa JF kuna masupa starz wa forum, ukimtaja Mshana jr, Ruby, Faidha, Lizabon, Allan, Bitoz na wengine wengine hakuna asie wajuaBongo kuna masupastaa?
Watakua hawajitambui hao