Salon ya America nails wanachagua wateja

Salon ya America nails wanachagua wateja

Tweetylicious. If you are black. shine black. Hapo mahala ni wapi nisije nikamleta wife ?
 
Kama wanachagua wateja .....Na wewe uwe unachagua salon ya kwenda. Acha kuparamia. kama ulienda umevaa kanda mbili ulitegemea wakuwekee red carpet. Remember the way you dress gives the impression to which stratum you belong in society. next time dress to kill and revert with observations.
 
Kama wanachagua wateja .....Na wewe uwe unachagua salon ya kwenda. Acha kuparamia. kama ulienda umevaa kanda mbili ulitegemea wakuwekee red carpet. Remember the way you dress gives the impression to which stratum you belong in society. next time dress to kill and revert with observations.

Hapana ile ni biashara! Unapaswa kuelezwa bei ya huduma tuu ukikubaliana nayo,wakuhudumie. Wengine hawana hulka au hawapendi kuonekana maridadi bali wasafi tuu.
Maridadi wa kuvaa wengi hawana pesa mbwembwe tuu.
 
nasikitika kusema nimesikitishwa sana na treatment ya kibaguzi iliyokuwa wazi niliyoipata kwenye saloon hyo iliyosababisha niondoke hapo bila kupata huduma yoyote na kisa tuu sina jina kubwa ama sionekani kwenye magazejti kama wengi wa wateja wanaohudumiwa hapo. ambao wengi wao ni masupa star...ifike mahali watu wajifunze kua customer care ni muhimu mnooo tatizo watanzania tunashoboka na mastaa bei wote tunalipa sawa lakini akitokea celebrity utashangaa jinsi watakavyo kuignore wewe mteja wa kawaida... lakini hawaelewi kua si wote wanapenda kushow off ...kupanda bajaj sio sababu ya mimi kushindwa kuafford a good hair do if i want to...n if i cm in flats instead of a red sole painted heel or designer bag and flashy dress isnt the reason for u to judge me....treat yo customers equally...some of us dn like to show of bt we cn live and spend like a celebrity if we want to n we cn afford it....
pole sana naifahamu hiyo saloon si ipo barabara ya kino ukiingia ndani kama una dumbukiaaa..palee ishamtpkeaga wife wangu aliweka appointment akaambiwa aende saa nne asubuhi.akashanga mpaka saa nane hajafanyiwa servicce yoyote.hidumwa wanapewa wengine tu.mimi nikaenda hapo kumtoaaa.tatizo wabongo kujuana ndy shida na sehemu nyingi tu tatizo hilo lipo
 
Kama majibu ndiyo haya yanayotolewa na baadhi ya member humu, basi wabongo tutaendelea kusikia kwa wenzetu maendeleo. Tatizo la kuhudumia wateja bado ni kubwa sana Tanzania, wengi wanajisahau sana. Ajira zikichukuliwa na wageni mnalalamika. Hivi katika ulimwengu huu wa ushindani, bado unamuona mteja ni kinyaa kwako??? Dah! Haya, najua wenye mitabia hiyo watanipinga.
 
Hapana ile ni biashara! Unapaswa kuelezwa bei ya huduma tuu ukikubaliana nayo,wakuhudumie. Wengine hawana hulka au hawapendi kuonekana maridadi bali wasafi tuu.
Maridadi wa kuvaa wengi hawana pesa mbwembwe tuu.

Usiseme wenye mbwembwe na kuvaa maridadi hawana pesa . sema wanazo lakini ni new money au ill gotten wealth. tunawaita NOVEAU RICHIE. Tukirudi kwenye mada ni kwamba najua mwenye salon ana nia njema ila management ndio hovyo. Ngoja niulize... Kwanini wanawake kama huyo mnger wa hiyo salon. wakipata kijimadaraka na pengine buzi ambalo ni mume wa mwenzie wanajisikia sana hata kuanza dharau hasa kwa anaowahisi hawanacho ? Hawajui haya ni mambo ya kupita tu ?Why women answer me...ni ulimbukeni au kutaka kukwea ngazi moja kwenye social classes without earning it ?
 
tatizo lenu mnapenda vitu vya anasa ndio mshahara wake huo yabidi mvumilie sasa.

mm mambo ya kipumbavu huwa sifagilii natoa pesa sihudumiwi bule .
nakifika naulizia Huduma kama unazingua nasepa naenda sehem nyingine.

mm najua tu hapo kama nikidume ulitaka kwenda kuoshwa nakushikwa shikwa na hao wahudum wa kike sisi wengine upuuzi huo hatuufagilii kabisaa ninyoe basi mambo ya kuanza kushikana shikana kama matahira no. mda mwingine muwe mnajitambua na kujithamini sio mnakuwa kama misukule
 
hio saloon ya kike/kiume!!??? hebu jieleze vizuri mbona unaongea kama watu.wote humu tunaishi mtaa mmoja

Teh teh teh!
Kumbe na wewe shangazi unatengeneza kucha saloon!?
Duh!
Balaa kweli hii!
 
sikupenda kubishana pale kung'ang'ania huduma kwa mtu asie taka kukuhudumia ni kujidhalilisha tuuu....
lakini pia kuweka huu uzi hapa si kuw ninalalamika lakini niwaasa watz kama tukiendelea na attitude hii itatucost lakini pia wamiliki wa maeneo mbalimbali..wafuatilie jinsi wateja aao wanavyohudumiwa kukosa wateja sababu zinaanzia katika issue kama hizi

no, siyo kwa lengo la kung'ang'ania huduma, just to let them know kwamba wanachofanya na ujinga na ni kitu cha kuwatia aibu, pia itamsaidia huyo aliyeingia na kukuta watu kisha akahudumiwa kabla ya wale aliowakuta ajitathmini moyoni, kwa sababu na yeye alitakiwa kusema .."hapana, wahudumie kwanza hao niliowakuta" (ngumu kwa mtanzania eeh? tunaabudu vipaumbele hata tusivyostahili, hospital, bank nk)!
 
saloon zetu tanzania hatuna customer care wanahsobokea mastaa wakati hela zinalipwa sawa i think wasijudge mtu kwa nje unatakiwa uige ona maznat jamani she is the best good customer care amekuepo tokea lini ana moyo mzuri she is the best na anapamba balaaa
 
Hela ntafute mwenyewe..dharau wanileteee...me mara nyingi na hasira zangu hizi na tusenti nikakopata...nkifika sehm naona hawana mapokez nnayoyahitaj nasepa fasta bila kuaga.......ata baadhi ya maduka ya nguo...mfyuu..wakiona nguo zimedoda wanaanza kutuma masms......my dr...pesa yako u can go anywea and do anything....samehe bureeeeeee
 
Back
Top Bottom