Tweetylicious
Member
- Apr 10, 2012
- 17
- 11
Nasikitika kusema nimesikitishwa sana na treatment ya kibaguzi iliyokuwa wazi niliyoipata kwenye saloon hiyo iliyosababisha niondoke hapo bila kupata huduma yoyote na kisa tuu sina jina kubwa ama sionekani kwenye magazeti kama wengi wa wateja wanaohudumiwa hapo ambao wengi wao ni masupa star.
Ifike mahali watu wajifunze kuwa customer care ni muhimu mnooo, tatizo watanzania tunashoboka na mastaa bei wote tunalipa sawa lakini akitokea celebrity utashangaa jinsi watakavyo kuignore wewe mteja wa kawaida.Lakini hawaelewi kuwa si wote wanapenda kushow off
Kupanda bajaji sio sababu ya mimi kushindwa kuafford a good hair do if i want to...n if i cm in flats instead of a red sole painted heel or designer bag and flashy dress isnt the reason for u to judge me....treat yo customers equally...some of us dn like to show of bt we cn live and spend like a celebrity if we want to n we cn afford it....