Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

inama kidogo shika magoti Nimesimama kama ngongoti
 
Sidhani kama mama Tee kafurahia sana video ya huu wimbo
 
Saida lazima apate chake hapa.
Halafu saida yeye pia siye aliyetunga huu wimbo. Huu wimbo ulikuwepo unaimbwa na wahaya miaka mingi tu hata aliyeutunga hajulikani.
Yani ni zile nyimbo za makabira unakuta unaimbwa sana siku nyingi.
Ila pia sidhani diamond kwa exposure ya mziki aliyonayo kwa sasa anaweza copy kitu bila kukubariana na mhusika.
And the worst part ni kwamba saida aliuza rights za nyimbo zake kwa meneja wake masikini.
 
Kiioo hakidaganyi mama, Umemjipodoa umepodoka,
Mwendo nacheka Yute mwanangu, Me Suruali yanidondoka,
Tukimbizane nn Salome wangu, Hiyo michezo ya jogoo,
Ona unatizama chin Salome wangu, Ukimwona Jogoooo,
Inamakidogo, Shika magoti,
NimeSimama kama Ngongoti,Mtoto jojo Sio robot,
Chumbani bingili bingili SamaSoti..

Simba wa tandale Chibu na Toto lake Ray. Ebwana DAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAH!
 
AJE ya KING KIBA inamchanganya sana MONDI hadi usingizi hapati naona anatoa toa nyimbo ovyo mara na papa wemba mara atumie beat ya french montana mara atoe salome yaani jamaa anahaha na AJE STILL IKO HOT
Kumbe Ile nyimbo ya papa wemba ni diamond ndiyo aliiachia?
kumbe ile beat mond aliyoifanyia michano huru ni ya montana?

kama hujui uliza,ukishindwa kuuliza nyamamaza,ukishindwa kunyamaza na ukakulupuka kurupu kama hivi unadharaulika.
 
Wimbo mbovu idea ya wiz hajapewa idhin kashafulia subir king atoe madude matano ya maangamiz@supported by king kiba
 
Sasa huo wimbo una uzuri gani??
 
Mi naona mzuri
We kama unaona mbaya si mbaya pia
*sote tuna penda muziki hatuwezi fanana

Ila ukisema alikopi sjui nini hapo ndio tunabishana, anaye ona wimbo mbaya siwezi mlazimisha
Mkuu mimi siongelei habari za kucopy... Napenda muziki mzuri pia, mbona Diamond ana nyimbo nyingi tu nzuri ila kwa huu kwangu hapana!!
 
Huwezi ukawa sirias.. Yani nisamehe ivunjwe na huu upuuzi??
 
Mkuu mimi siongelei habari za kucopy... Napenda muziki mzuri pia, mbona Diamond ana nyimbo nyingi tu nzuri ila kwa huu kwangu hapana!!
Sawa mi nimeupenda sana
Na nna uhakika siko peke angu, endelea kusubiri atakapo toa wimbo mzuri tuta ungana kaka.

*binadamu huwa tunatofautiana siku zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…