Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

Bonge la pini, simba wanyooshe mpk wakimbie jiji
 
Mkuu huyo kiba inaelekea anawaumiza vichwa badala mpromote hiyo nyimbo mpya mashabiki waione nyinyi mmekazana na huyo kiba!
 
DOGO KIBA LAZIMA ANYOOKEE TUU HAINA JINSI NA LAZIMA ATOE SALUTI KWA MFALME SIMBA.. UKIJARIBU KUMPINGA AU KUSHINDANA NA DIAMOND NI SAWA NA KUJINYIMA HEWA..
 
hapo kwenye mavazi pana point pia,ilibidi wajivalie japo makaniki au viseruni/vikoi.lakini naona wote wamekuwa wanigeria.
 
nani dogo hebu kuwa na displine mwehu wewe
Kama Hujui usiwe unakulupuka tu,kama unashindwa kujibu maswal ya mwehu we c utakuwa zaidi ya mwehu? We utakuwa muwa unakamuliwa.
 
hapa sasa unaanza kuharibu,.maana unaongea kishabiki zaidi na si kwa lengo la kuekana sawa.
 
Mkuu huyo kiba inaelekea anawaumiza vichwa badala mpromote hiyo nyimbo mpya mashabiki waione nyinyi mmekazana na huyo kiba!
DOGO KIBA HANA UWEZO WA KUWAUMIZA VICHWA VIJANA MAKINI WA WASAFI HARMONIZE/RAYMOND SEMBUSE HUYU SIMBA MLA WATU.. KWA SASA MZIKI UMEMSHINDA DOGO KIBA NAMSHAURI ARUDI HUKO KWAO UVINZA KIGOMA AKACHIMBE CHUMVI
 
Mkuu sawa sasa nyimbo mpya imetoka badala watuletee mashabiki tuione wao wanakazana kuleta habari za kiba sijui huyo kijana kawafanya nini?
 
duuh,Mkuu mi hii username yako tu ndo imeniacha hoi,let alone your comment!hahahahaaaa,inaonekana unakikubali sn kitu cha wali ndondo.
 
DOGO KIBA LAZIMA ANYOOKEE TUU HAINA JINSI NA LAZIMA ATOE SALUTI KWA MFALME SIMBA.. UKIJARIBU KUMPINGA AU KUSHINDANA NA DIAMOND NI SAWA NA KUJINYIMA HEWA..

DOGO KIBA HANA UWEZO WA KUWAUMIZA VICHWA VIJANA MAKINI WA WASAFI HARMONIZE/RAYMOND SEMBUSE HUYU SIMBA MLA WATU.. KWA SASA MZIKI UMEMSHINDA DOGO KIBA NAMSHAURI ARUDI HUKO KWAO UVINZA KIGOMA AKACHIMBE CHUMVI
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Nifanye nn nisamehe nifanye nn acha kabisa
Mnazima moto wa petrol kwa maji mmebug men
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…