Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

Hehehe yaan leo diamond kanifurahisha kuna mtu anasema eti dai amekopi aje n kitu kipya kama aje hahaha kakopi lakin kafunika na kitamlipa mara elfu atoe kitu kipya kik buma je??[emoji28][emoji28][emoji28]nipo tu nachungulia sometmz busy busy
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ujue watu wana nishangaza, sasa mondi mwenzao ana zidi tusua,
wanajenga majungu yeye anajenga vibanda

Mi nimeupenda, ni bora mtu aseme haupendi tyu kuliko kutafta vijineno vya hapa na pale
 
Mm nimeupenda sana sana sana saaaaaanaaa
 
Mm nimeupenda sana sana sana saaaaaanaaa
Aaah
We mi nakuaminia mbona, pigo zako zote amazing.
Hapa naendelea ku u replay tena [emoji444] [emoji443] [emoji443] [emoji444] [emoji441]
 
Unajua watanzania tunashangaza hao wanamuzki wa kimataifa huwa hawacopy nyimbo au vp mbna msanii km nick minaj kashawah kukopi wimbo wa david guetta lakin wabongo mara oooh kaanza kuishiwa tena me nampongeza kwa kumtafutia kiki saida kabasi
 
Reactions: MC7
Kweli mziki mgumu jaman hadi jini roho mbaya kaanza kutoa cover ya saida kaloli basi ngoja tuonee baada ya muda atatoa cover gan ya Kingkikee au rangi ya chungwa.
Haaa asokujua kua ww n the biggest hater w wcb nani hapa jukwaani? Hahaha kwahyo hata x bella aluvyoimba wimbo wake na yy mzik umemshinda?jay dee je? Mr paul? Shakira ?wale walioimba wimbo wa we r the one wakina justin beiber ? Na wenyewe wameishiwa haaha halafu mtu kama wewe kweye harusi unaucheza mpaka unakanyaga watu haaha hater leo mtalala mnawaza sana
 
Sasa kwenye hiyo video tamaduni yenu tz iko wapi? Hahaaa nyie hamko serious kabisa wimbo huo kaimba Saida ni wa asili ya Kitanzania mm sijasema aonyeshe asili ya wahay angeonyesha asili yetu watz kwasababu mziki Una tamaduni yetu au uquality wa video ni mavaz ya kinigeria ndo inakuw video quality au angetengeneza video yenye Asili ya kitanzania ndo isingetazamwa kwani huwez kuvaa kitz na ukatengenezea video SA lkn ikaonekana Ina mahadhi ya Tz, hoja zenu hazina mashiko kubali mkatae boss wenu huyo Ana unigeria mwingi mpaka anaboa .. Watz hamjikubali
 
Aaah
We mi nakuaminia mbona, pigo zako zote amazing.
Hapa naendelea ku u replay tena [emoji444] [emoji443] [emoji443] [emoji444] [emoji441]
Hahaa n mm pia namalizia kuwajambisha haters halafu ni replay aa much as i can
 
hayo mambo ya kukopi umeleta wewe...mimi sijazungumzia kukopi maana hakuna jipya chini ya jua nilichosema mimi ni kuwa Nisamehe ndio wimbo mbovu toka nimjue Baraka kama unabisha nipangie kwenye hizo ngoma zake ipi itakuwa ya mwisho alafu utaelewa ilipo Point ya msingi

Ali Sample wimbo wa kimasomaso dunia nzima tunajua ni wimbo wa Issa Matona je hiyo ilifanya wimbo huonekani mbovu kisa ali-Sample?!

Jide alirudia Wimbo wa Siweza
Mr.Paul akarudia Zuwena
Christian Bella akarudia Ukimuona

So kurudia wimbo sio kosa na hakufanyi wimbo uwe bovu ukiringanisha na mwingine..na ujue kutofautisha ku-copy na sampling ni vitu viwili tofauti japo zinafanana

Nakupa mfano Bella kwenye wimbo wa Ukimuona ile ni Copy au cover..Na wimbo wa Ali Kimasomaso au huu wa Salome hizi ni Sampling na hiyo inatokea dunia nzima na sio Dar es Salaam peke yake


[HASHTAG]#TeamKariakoo[/HASHTAG]
 
Point. Nadhani wanamuziki wengi wanajua copyright laws kw kiwango flani so sitegemei kesi ya copyright infringement hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…