Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

Wimbo ni poa aliamua kutoa wimbo ya kitamaduni na kafanya fresh.
Dimond hatoi wimbo unaoutaka anatoa wimbo anao utaka na katembea furesh
Unaongea point sana kijana mwenzagu
Huu wimbo nimeupenda saaanaaa yaan utamlipa diamond
Watu wanadhan diamond n zero brain lazma atakua ana rights zote
Naomba kuuliza huyo mwanasheria w saida karol n nani? Na alikuaga waphaterd bwana hahaah kubalin tu
 
Naona simba anaanza kuwatetemesha.....!

Safi saana simba huu wimbo lazima upigwe kwenye harusi yangu !
Hahaha kila la kheri sana
Yaan mm sijauchoka jamaniii hzo rang z nguo zinanimalizaaa wadada wanakata haoooo
 
Hahaha
Yaan mtu ana mameneja wa 3 awe haelewi ili aimbe huo wimbo kina takiwa nini!! Halafu ni wimbo wa kitamaduni hata Saida mwenyewe si original idea yake, alicheza na maneno tuu.
Kama nilikumis hivi!![emoji85]
Ulipotelea wap!!?
 
Acha unafk Salome na dimomd wamekubaliana kwa malipo ya ambapo ameeudishiwa gharama zote alizotumia katika huo wimbo na pia akapewa fungu lingine ikiwa ni sehem ya asante chin ya mwanansheria
 
Mwanadarisalama ni wimbo wa Asili? Kama ilivo hiyo Salome .. Mm nawajua timu domo mna mahaba mpaka hamuoni wala hamsikii.. Ila ukweli ndo huo bora huo wimbo muuite Salome tu lakn msiseme ni wa utamadun wetu mnatia aibu, Yale majuba na Tz wapi na wapi mm nahis diamond anataman angezaliwa ningeria[emoji23] [emoji23] Hana uzalendo kabisa anatamani mzee Abdul abadilike awe mnigeria ndo nahis atampa matibabu.. Poor diamond
 
Kwa mtindo huu wa copy and paste AJE itaendelea kutamba tu naona kidogo imemkost sana then kakurupuka na nyimbo za kukopy
Saida karoli si upo hai bado ni muda wako wa kwenda mahakamani sasa upige hela
 
Kweli nyani haoni kaliole [emoji23] we huna mahaba hapo?
 
Hahaha
Yaan mtu ana mameneja wa 3 awe haelewi ili aimbe huo wimbo kina takiwa nini!! Halafu ni wimbo wa kitamaduni hata Saida mwenyewe si original idea yake, alicheza na maneno tuu.
Kama nilikumis hivi!![emoji85]
Ulipotelea wap!!?
Hehehe yaan leo diamond kanifurahisha kuna mtu anasema eti dai amekopi aje n kitu kipya kama aje hahaha kakopi lakin kafunika na kitamlipa mara elfu atoe kitu kipya kik buma je??[emoji28][emoji28][emoji28]nipo tu nachungulia sometmz busy busy
 
Yaani hamna kitu,mara mia nikaangalie wimbo sa Bank Alert wa kina Psquare
 
Wimbo wa ovyooo kabisa nilishasema huyu hajui kuimba kaishiwa amebaki kukopy tu
 
hakuna sheria duniani inaykataza mwnamuziki kufanya demo/remix ya wimbo wa flani acha porojo
Bwana weee achana na wazushi hao yaani inaingiaje akilini kwa watu kama kina Tale na Wenzake kutoa wimbo huu bila kibali cha kina Saida. Hahaha mnajua mzee mutta mnamsikia nyie? Ni lazima walishaongea nao na wamekubaliana.
 
Taratiibu mutanyooka, binladen ni nyoko, mmemkosea muda mrefu kwa kumlinganisha na kibakuli
Binladen kachinjwa na kutupwa baharini bila hata mazishi ya ndugu zake ndiye unaona wa kumpigia mfano?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hoja yangu ni kuwa huwezi imba kuhusu mbeya video ikaonesha kigoma(ndio maajabu aliyo yafanya mwana dsm).
Dimondi hajasema ni nyimbo ya kitamaduni za kihaya, kasema anataka kuonesha tamaduni za ki afrika ambazo zimo kwenye video, ujue pia mondi ni msanii wa ki mataifa hawazi audience ya bongo tu. Mi nampongeza na aliona mbali

*naamini na wew unapenda muziki mzuri, na wanaijeria nao wana penda pia
 
Kwa mtindo huu wa copy and paste AJE itaendelea kutamba tu naona kidogo imemkost sana then kakurupuka na nyimbo za kukopy
Saida karoli si upo hai bado ni muda wako wa kwenda mahakamani sasa upige hela
Achana na hiyo alafu video ina Asili ya Nigeria afu wanajidai et dai katangaz mziki wetu wa asili hahahaaa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…