Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

Hahahahaaaaaaa
Ukafananishe hizi saida karoli na nisamehe?
Acha basi kulazimisha moja kuwa Saba
Ila ushabiki ni mbaya Sana jamani
Hakuna ushabiki hapo kama ushabiki mimi ni shabiki namba moja wa Ali toka enzi za Sabrina,Wajua wa Queen Darleen,Sikuoni,nalia wa Ab Skills na uniambii kitu kuhusu Ali.

Ila kwenye ukweli tunasema hiyo itafanya kuwasaidia tunaowapenda sio kuwapa sifa za uongo...ila Nisamehe amna kitu haikufikia matarajio..Siwezi ulikuwa wimbo mkali mara 10 ya huu Nisamehe kama unabisha na hili nitakuacha kama ulivyo
 
Binafsi hata ya Baraka naipenda. Ingawa na hii ya Diamond ni moto wa kuotea mbali.
 
Hahahahaaaaaaa
Ukafananishe hizi saida karoli na nisamehe?
Acha basi kulazimisha moja kuwa Saba
Ila ushabiki ni mbaya Sana jamani
Amna ushabiki hapo na ukitaka ushabiki mimi ni shabiki wa Ali mara 10 ya ulivyo wewe...ila weka mahaba pembeni alafu nipe jibu ukiambiwa uzipange Siachane nawe,Siwezi na Nisamehe ipi utaiweka nafasi ya kwanza?!
uKishapata jibu utajua point ya msingi ipo wapi
 
Wimbo ni poa aliamua kutoa wimbo ya kitamaduni na kafanya fresh.
Dimond hatoi wimbo unaoutaka anatoa wimbo anao utaka na katembea furesh
Yaani kaimba wimbo wa asili yetu halafu video Ina asili ya Nigeria na Yale majuba aloyavaa hahaa poor diamond , alikosa kushona hata vitenge aendane na tamaduni yetu watz, najua mtapinga ila kiukweli hajawatendea haki wabongo huo sio utamaduni wetu japo wimbo ni wa kwetu[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Yaani akili zako zinakutuma kuamini kama Diamond na Team yake wangekubali kuutoa huu wimbo bila kukubaliana na Saida Karoli na Mzee Mutta?
 
Taratiibu mutanyooka, binladen ni nyoko, mmemkosea muda mrefu kwa kumlinganisha na kibakuli
 
Utafikiri we umevaa magome ya miti hapo [emoji23] kumbe kitu Made in China au Thailand.
 
Mbona kuna msanii aliimba wimbo wa mwana Dar es salaam , lakini akenda kutolea video South Africa!!?
Nadhani Mondi anawakilisha sanaa ya Afrika nzima pale kawepa u pwani , u nyasa kidogo na u nigeria (ukimataifa)
Halafu hapo sasa ndo kajitofautisha na Saida baye yeye ali itolea ki haya sasa mondi angekuwa naye hana jipya na wangemsema tuu

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Si muda ntakuja huko kwako
 
Utafikiri we umevaa magome ya miti hapo [emoji23] kumbe kitu Made in China au Thailand.
Mnashadadia wimbo wa asili , Asili yenu iko wapi kwenye hiyo video uzalendo hakuna pamoja na huyo domo wenu, aisee wabongo kwenye mahaba hamjambo hadi mnasahau utamaduni wenu msanii wenu anaiga tamaduni za nchi nyingine et kaimba wimbo wa asili[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] aiseee
 
Hivi dayamond na ukimataifa wake ame sample nyimbo kama hii bila kibali???
 
hakuna sheria duniani inaykataza mwnamuziki kufanya demo/remix ya wimbo wa flani acha porojo
 
Wewe unakwenda nje ya maada kabisaaaaa
Swali lipo kwenye kukopi na kupest mpaka melody na maneno yenyewe.
Basi na beat utakataa?
Sasa mambo ya siachani na we na hayo mengine yanatoka wapi?
Basi nikukubalie kwamba kakopi baraka sasa je kamkopi nani Kama unalazimisha nikukubalie nayeye alikopi?[emoji251][emoji251][emoji251][emoji251]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…