Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 969
- 844
Kuna Kosa kwani? Je hukuwahi Kuisikia ZUWENA yake MARIJAN RAJAB ikiimbwa na MR.PAUL? na Je Hukuwahi kusikia MUHOGO WA JANG'OMBE yake MAREHEMU BI KIDUDE ikiimbwa na Comandoo bint Mchoz Lady J-dee????????Chambua kama karanga by saida karoli
Jina la wimbo kufanana tu ndo useme kaimba wimbo wa issa matona?Kiba kaimba nyimbo ya ISSA MATONA kimaso maso, Jide muogo jang'ombe na siwema , Mr Paul zuwena hawa wote hawajashtakiwa ila diamond platnumz ndio ashtakiwe, punguza roho mbaya kwa kijana mwenzio mtafutaji.
Nenda kamfundishe bas huo ubunifuUlitegemea kila mtu amsifie hata kama kuna mapungufu. Hiyo ni sanaa ubunifu ndo dira , mkuu.
wewe kweli bogusKumbe Ile nyimbo ya papa wemba ni diamond ndiyo aliiachia?
kumbe ile beat mond aliyoifanyia michano huru ni ya montana?
kama hujui uliza,ukishindwa kuuliza nyamamaza,ukishindwa kunyamaza na ukakulupuka kurupu kama hivi unadharaulika.
HahahahaaaaaaaHii ngoma ni kali mno...Tulitegemea ule nisamehe wa Baraka na Ali ungekuwa mkali ila walituangusha wale jamaa...Diamond anajua kutumia nafasi kwa hili dude majamaa wamekuja kuivunja vunja Nisamehe.
Ila inaniuma kusema hivi maana mapenzi yangu kwa King Kiba ni makubwa mno ila Hapa no naacha unafiki.
Raymond ni nyokoo huyu mtoto...kwa mtazamo wangu kamfunika Boss wake kwenye hii ngoma.
[HASHTAG]#TeamKariakoo[/HASHTAG]
Msipoangalia mtakojoa kitandani leoN kwel diamond anaelekea kupotea
Hiv anaigaje wimbo kihivyo?
Kapoteza mvuto kabisa
Nijuavyo mm wimbo wa saida kalori
Hizo swagga ni za Saida
Nmepoteza mb zng kuidownload hii
Shame to u WCB[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]
Acha Upopoma kwa ulivyoviandika ni kipi upo sahihi?wewe kweli bogus
Mtajiharishia leoIla wimbo wame cover wa Saida Karoli, kama hawakuelewana kuna kesi hapa.
Hii hata si sampling, hii ni cover version.
Huu wimbo wa Saida Karoli kila mtu anayefuatilia muziki anajua, mpaka kuna movie moja ya Kimarekani ya Tyler Perry inaitwa "Peeples" umepigwa kama soundtrack.
That is neither here nor there.Mtajiharishia leo
UshajinyeaThat is neither here nor there.
Facts are facts.
F.ucks tards are f.uck tards.
Skiza Dogo we hujui kitu.kama unajua nijibu maswali niliyokuuliza sio kukimbilia kashfa JF sio sehemu yako.wewe kweli bogus
Wenda ikawa ni Mcongo Man maana katokea pande hizo. ha ha haaaaaaa Wabongo bhana!Mond sio wa nchi hii
Relax.Huwezi ukawa sirias.. Yani nisamehe ivunjwe na huu upuuzi??
Kwa kupenda kuzusha msiyoyajua basi. We kwa akili zako unafikiri Diamond angetumia hiyo Melody bila ya kuelewana na Mzee Mutta na Saida? Ptuuuuu.That is neither here nor there.
Facts are facts.
F.ucks tards are f.uck tards.