Preta unamaanisha babii wako au babu wako?
Una wengi sana sasa ni yupi? mtu chake ? KakaKiiza ? TANMO au nani?
Mi kwanza ukirudi kwa mtu chake au mmoja wao sina tatizo coz hata mimi nimemiss sana mambo ya mtaani kwa akina BADILI TABIARemmyYummyYNNAH na my wife wa kudumu Amyner bila kumsahau alozindua mtambo wangu Kongosho