Salamu

KABAVAKO

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
229
32
Habari ndugu zanguni? mimi ni mgeni katika forum hii. ninaomba mnikaribishe kwa mikono miwili.
 
Mh! umetokea wapi? ualala? utapenda kula nini? Leo si zamu yetu ya umeme hivyo utoga kesho. BIG SMILE k a r i b u
 
karibu. Alika wengine. Nafasi ipo kwa wote unawafahamu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom