Salamu zenu

Salamu zenu

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
ImageUploadedByJamiiForums1437047011.174645.jpg
 
Nimezipokea. Shukurani sana. Salaam za Iddi.
 
Mkuu wataka kuiharibu funga yangu wakati bado siku moja tuu..? Si ungesubiri kesho angalau lol..
 
Bila samahani. Uzuri wa kuishi Asia, tunaiona siku mwanzo.
Hapa tunafuturu sasa na Eid celebration zimeanza.

Kuna siku HSBC walinipigia simu saa 10 usiku.
Nilikasirika sana. Nikaangalia muda nikajua huko ndo mambo yamepamba moto.
 
Kuna siku HSBC walinipigia simu saa 10 usiku.
Nilikasirika sana. Nikaangalia muda nikajua huko ndo mambo yamepamba moto.

Hizo simu za saa mbaya nimezizoea Mkuu.

Huku mpaka leo familia wanapiga saa tisa, kumi alfajiri .

I gave up!
 
Mkuu hawa dada wanakaribisha Eid vizuri sana.
 
Hizo simu za saa mbaya nimezizoea Mkuu.

Huku mpaka leo familia wanapiga saa tisa, kumi alfajiri .

I gave up!

Hii time difference mbaya sana. Ukitaka kuongea vitu vya muhimu na mtu wa nje inabidi u sacrifice ur sleep.
 
Hii time difference mbaya sana. Ukitaka kuongea vitu vya muhimu na mtu wa nje inabidi u sacrifice ur sleep.

I just mumble something and promise to call later.

Ubongo umelala bado.
 
Samahani mkuu Bavaria, ila wengine tushatoa mahari kwingineko, sasa kutuwekea picha kama hizi sio fair bana! Unatufanya tuwaze mara mbili mbili ujue...NOT FAIR AT ALL...

cc: Viol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom