vipi the boss ulichoona hapo ni condom tu au????????hiyo valentine day ni condom day sio?????
vipi the boss ulichoona hapo ni condom tu au????????
salamu zangu za mapendo zimfikie kila mwanaJF as valentine is around the corner.
mnaosherehekea siku hiyo nawatakia furaha na kusherehekea salama bila kusahau kwamba ukipuuzia kutumia CONDOM unaweza usiione valentine ijayo au ukaiona ukiwa ndani ya nepi.
kwa wale masingel,usikae mwenyewe ukasononeka zipo njia nyingi za kukuwezesha kushow na kugive love na kupokea love mfano unaweza kutoa mapendo yako kwa wagonjwa hospitalini wasio na wakuwatembelea au kutembelea watoto yatima au why not celebrate it with people like wazazi,ndugu na marafiki au kutia furaha ktk moyo wa mtu ambaye hujawasiliana naye muda mrefu kwa kupigia simu au kumuandikia sms.
mie na shemeji yenu tutajifungia mahali week end nzima tukichek movie na kucheza karata.
I LOVE YOU ALL AND STAY BLESSED.
Why do people associate valentine's day na sex why???? I have never really understood this perception and it puts me off the mood with 14th February
Why do people associate valentine's day na sex why???? I have never really understood this perception and it puts me off the mood with 14th February
hiv kumbe v day ni kufanya uzinzi zu mi sielwi maana ya siku hii?
wee queenkem fafanua
Why do people associate valentine's day na sex why???? I have never really understood this perception and it puts me off the mood with 14th February
wewe kama mimi,mpenzi.
iliyobaki tutafutane tushrehekee wote.
tujifungie na dvd za kutosha.
inawezekana kabisa kama tutachukulia kuwa sex haimaanishi kuoneshana upendo.na upendo hauoneshi kwa mpenzi tu.kukumbushiana condom ni muhimu kwani ni unafiki wa hali ya juu mtu kujifanya kuwa hajui ni kiasi gani sex inafanyika kwa kiwango kikubwa siku hiyo.mie binafsi sio mshabiki saana wa siku hii maana kwangu mie napenda kupendwa siku zote na kuwapenda wenzangu siku zote.however sioni ubaya siku hii kutumika watu kuwaonesha wengine jinsi wanavyowajali na kuwapenda.bongo statistic zinaonesha sex hufanyika kwa wingi siku hiyo hata machangudoa pia hupata wateja kwa wingi.hivyo sex na condom lazima ziongelewe kwa sbb wapo ndugu zetu kwao valentine haiwezi kusherehekewea bila SEX na wote mnajua hilo.hope mmenipata.kwani hatuwezi zungumza valentine day bila kugusia sex????????
Huu utamaduni wa ku copy and paste ndio utatuumiza zaidi na zaidi, yaani hiyo siku ni anasa usipime.Wala usipate shida kuelewa utamaduni wa ku copy na ku paste.
Fafanua tafadhali!!!
Wala usipate shida kuelewa utamaduni wa ku copy na ku paste.