salamu zangu za mapendo zimfikie kila mwanaJF as valentine is around the corner.
mnaosherehekea siku hiyo nawatakia furaha na kusherehekea salama bila kusahau kwamba ukipuuzia kutumia CONDOM unaweza usiione valentine ijayo au ukaiona ukiwa ndani ya nepi.
kwa wale masingel,usikae mwenyewe ukasononeka zipo njia nyingi za kukuwezesha kushow na kugive love na kupokea love mfano unaweza kutoa mapendo yako kwa wagonjwa hospitalini wasio na wakuwatembelea au kutembelea watoto yatima au why not celebrate it with people like wazazi,ndugu na marafiki au kutia furaha ktk moyo wa mtu ambaye hujawasiliana naye muda mrefu kwa kupigia simu au kumuandikia sms.
mie na shemeji yenu tutajifungia mahali week end nzima tukichek movie na kucheza karata.
I LOVE YOU ALL AND STAY BLESSED.