salamu zangu za mapenzi zimfikie....

queenkami

JF-Expert Member
Feb 8, 2010
1,600
1,015
salamu zangu za mapendo zimfikie kila mwanaJF as valentine is around the corner.
mnaosherehekea siku hiyo nawatakia furaha na kusherehekea salama bila kusahau kwamba ukipuuzia kutumia CONDOM unaweza usiione valentine ijayo au ukaiona ukiwa ndani ya nepi.
kwa wale masingel,usikae mwenyewe ukasononeka zipo njia nyingi za kukuwezesha kushow na kugive love na kupokea love mfano unaweza kutoa mapendo yako kwa wagonjwa hospitalini wasio na wakuwatembelea au kutembelea watoto yatima au why not celebrate it with people like wazazi,ndugu na marafiki au kutia furaha ktk moyo wa mtu ambaye hujawasiliana naye muda mrefu kwa kupigia simu au kumuandikia sms.
mie na shemeji yenu tutajifungia mahali week end nzima tukichek movie na kucheza karata.
I LOVE YOU ALL AND STAY BLESSED.
 
Fafanua tafadhali!!!
 
Why do people associate valentine's day na sex why???? I have never really understood this perception and it puts me off the mood with 14th February
 
Why do people associate valentine's day na sex why???? I have never really understood this perception and it puts me off the mood with 14th February

wewe kama mimi,mpenzi.
iliyobaki tutafutane tushrehekee wote.
tujifungie na dvd za kutosha.
 
hiv kumbe v day ni kufanya uzinzi zu mi sielwi maana ya siku hii?
wee queenkem fafanua
 
Why do people associate valentine's day na sex why???? I have never really understood this perception and it puts me off the mood with 14th February

same here.....hivi huyu St. Valentine ndo hayo aliyafanya au ilikuwaje ..........

anyway babu yangu ni somo wa Mt.Valentino kwa hiyo siku hiyo ni church tu,anagalau mimi huo ndo umaalum na umuhimu wa siku hiyo.
 
Why do people associate valentine's day na sex why???? I have never really understood this perception and it puts me off the mood with 14th February

kwa sababu hiki ni kizazi kilichojaa zinaa
 
kwani hatuwezi zungumza valentine day bila kugusia sex????????
inawezekana kabisa kama tutachukulia kuwa sex haimaanishi kuoneshana upendo.na upendo hauoneshi kwa mpenzi tu.kukumbushiana condom ni muhimu kwani ni unafiki wa hali ya juu mtu kujifanya kuwa hajui ni kiasi gani sex inafanyika kwa kiwango kikubwa siku hiyo.mie binafsi sio mshabiki saana wa siku hii maana kwangu mie napenda kupendwa siku zote na kuwapenda wenzangu siku zote.however sioni ubaya siku hii kutumika watu kuwaonesha wengine jinsi wanavyowajali na kuwapenda.bongo statistic zinaonesha sex hufanyika kwa wingi siku hiyo hata machangudoa pia hupata wateja kwa wingi.hivyo sex na condom lazima ziongelewe kwa sbb wapo ndugu zetu kwao valentine haiwezi kusherehekewea bila SEX na wote mnajua hilo.hope mmenipata.
 
Jamani kuna watoto yatima wanaohitaji kuona upendo wetu pia, mi nadhani kama kuna vituo vipo karibu na tunakoishi tutumie hiyo siku pamoja na familia tukawatembelee tuwapelekee na mahitaji madogomadogo..mnaionaje hii...kuliko kukalia sex tuu!!
 
someni vizuri muelewe.mie sijamaanisha kwamba valentine ni siku ya ngono jamani maana ningekua naamni hivyo wala nisingekumbuka kuwatumia salamu zangu kuwaambia nawapenda bali ningemuwaza shemeji yenu tu.hata hivyo mbona nimeelezea vitu vingi tunavyoweza kufanya siku hiyo kuoneshana upendo...condom nimekumbushia sbb wapo ndugu zetu wanaitumia siku hiyo kuendeleza zinaa tu hivyo ni upendo pia kuwakumbusha kutumia condom wkt huo huo nikitegemea na wao kujifuza kuwa valentine sio zinaa kwa kuwa nimetaja mambo mengine mazuri tunayopaswa kufanya kuoneshana malove.anyways,poa bwana naona mmeamua kutonielewa makuthudi,mie sijaongelea ngono wajameni.someni vizuri mtanielewa.
 
salam zangu ziende kwa ladies wooooooote wa JF i love you all - tupendane na tuzidishe mshikamo
rose1.gif

To all JF brotherz ......
544.gif
 
Qeenkami! mie nimekuelewa vizuri sana umeongelea mambo mengi ila perceptions za watu wengine wanajua valentine's day ni siku ya ngono tuu...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom