Salamu zako mwana jf

Salamu hiyo ya bold naituma kwa rafiki yangu mmoja, nathani umenipata mkuu
Salamu nyingine namtumia mtoa salamu...Usiishie kuandika nawe usome na kutafakari
 
salam zako wewe mtoto wa Rufiji pale kwenye kambale wengi.
 
Salam zenu mliopewa ifadhi kwa dada.....alafu unagegedeka na shem!!!!!

Hii nimeipenda naongeza na hii;
Salamu zenu mliopewa hifadhi kwa kaka.......... halafu mnamgegeda shem!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sasa uchokozi ila sms sent;
Salamu zenu mlioolewa/mliooa na kuhamisha familia zenu zote kwa mumeo/mkeo
Salamu zenu mliooa/kuolewa ila watoa maamuzi ktk ndoa ni wazazi wenu
Salamu zenu msioogopa mashemegi au ndugu wa aina yeyote, kila anayepita anarukiwa/anakurukia
Salamu zenu mnaojisifia kwa marafiki kwa kumiliki wasichana/wavulana wengi...... Sifa za Kijingaaaaa
Salamu zenu mnaoishi mjini maisha ya kifahari wakati wazazi wenu wapo kijijini hawajui kesho wale nini.
 
Salamu hiyo ya bold naituma kwa rafiki yangu mmoja, nathani umenipata mkuu
Salamu nyingine namtumia mtoa salamu...Usiishie kuandika nawe usome na kutafakari
mimi nishasoma na kutafakari kuna moja inanihusu ila am about kulisolve
 
mhhh maneno kuntu haya!!!!
 
Hakuna aliyechezewa hapo...kama kufaidi wote walikuwa wanafaidi...hata maziwa huwa yanaeksipaya jombaaa!!!
kama hivyo ndivyo kwa nini wanawake tukiwaacha wanasema tumewachezea alafu tumewaacha wakati raha tumepata wote then cha ajabu gharama kwetu!!!
 
Mtani hivi leo ndio Ijumaa eenh...maana naona kunakauli fulani zinanitoka tu hata sielewi elewi

leo furahi day mutani!
kesho no job,no foleni,no kuamka saa kumi,no nini
ehehehhehhehhee kitu cha mamuda kibaaaao!
 
kama hivyo ndivyo kwa nini wanawake tukiwaacha wanasema tumewachezea alafu tumewaacha wakati raha tumepata wote then cha ajabu gharama kwetu!!!

Kwa kuwa hawaelewi thamani yao tokea awali...

Mwanaume suruali anajulikana na mwanaume wa ukweli pia anajulikana,,,
 
Ewe kaka unaringaaaaa unaringa kitu gani *2

Kyupi yako ya bazoka ukija.mba inatuna mamaaaa

Wape wapeeee eeh vidonge vyao, wakimeza wakitema ni shauri yaooo
wanawake ni wajanjaa hakika nimekubali
wanawake ni wajanjaa hakika nimekubali
waona baba likita limevaa suruali
waona baba likita limevaa suruali
huku anaitwa kaka kumbe ndiye wa moyonii
jamaaaaaaa
wape wapeeee vidonge vyao wakimeza wakitema
shauri yao!
wape wapeeeee vidonge vyao wakimeza wakitema shauri yao

cc watu8
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…