Salam zako ww guy ur gal kakuamini kakupa mwili wake unauchezea unavyotaka afu unampotezea...remember mtenda hutendwa
Salam zako ww unaezani kila mnene ni neema,pole wengine majanga
kumbe umekula chumvi kimtindo eehhh!!!!Mimi kanikumbusha Kipindi cha Wakati wa Kazi enzi hizo za Malima Nderema RTD...
Heaven on earth njoo ututhibitishie haya madai tafadhali!!!Mkuu, hivi unajua kuwa sisi wanaume tukitoka kuamka ndio muda pekee ambao huwa tuna sauti zinazowavutia sana wamama!
na yeye atachezewa alafu ataachwa hujawahi kusikia mwanaume kagegedwa na mwanamke??Hehehe...kwa hiyo hapa mwanaume atatendwa kwa kuchezewa maungo gani ya mwili wake?
hiyo makitu tunaiita HUSKY voice mtani!Mkuu, hivi unajua kuwa sisi wanaume tukitoka kuamka ndio muda pekee ambao huwa tuna sauti zinazowavutia sana wamama!
kumbe umekula chumvi kimtindo eehhh!!!!
labda kwa kkweli sisi tulioazaliwa kipindi jakaya yupo madarakani wacha tuendelee kusikiliza east africa na times tukinadilish sana kiss fm!!!Nilikuwa mpenzi sana wa RTD mkuu...vipindi karibia vyote nilikuwa nasikiliza labda kwa kuwa ndio kilikuwa kituo pekee cha redio.
Salamu za Wagonjwa Hospitalini, Kahawa ni Mali, Wakati wa Kazi n.k
Heaven on earth njoo ututhibitishie haya madai tafadhali!!!
na yeye atachezewa alafu ataachwa hujawahi kusikia mwanaume kagegedwa na mwanamke??
eehehehehheh threse no place like home!Mtani wangu snowhite kashakuthibitishia hapo juu...yaani ukiamka tu unakohoa kidogo kurekebisha koo...halafu kile kibesi kitokacho hapo kama Subaru Forester iliyowekwa silencer...mtoto wa kike utamuona mwenyewe anajisogeza...waliosema "suti nyororo humtoa nyoka pangoni" nadhani walisahau kuwa upande wa pili kuna "sauti nzito humvutia nyoka arudi pangoni"...
:::wanaoelewa fasihi ndio watakao zielewa hizo semi zangu...teh teh!!!
kuna rafiki yangu wa kiume nilikuwa nae chuo alikutana na demu bar demu akamfagi mchizi mshkaji akawa anapewa $$$ balaa akiulizwa uko wapi akisema nipo bar nakunywa safari anatumiwa kilo anunue heineken basi wakawa wanangonoka mpk.. mwisho wa siku demu kampigia simu mchizi akamwambia kuanzi lleo mimi na wewe basi nina mtu wangu sasa hapo utasema nani kachezewa!!Heheh mwanaume hachezewi bwana...ushawahi kusikia wapi Simba anashikwa sharubu!!!
hakuna inayokuhusu kweli hapo sitaki kuamini!!!Mbona salamu zangu sizioni?
eehehehehheh threse no place like home!
kuna rafiki yangu wa kiume nilikuwa nae chuo alikutana na demu bar demu akamfagi mchizi mshkaji akawa anapewa $$$ balaa akiulizwa uko wapi akisema nipo bar nakunywa safari anatumiwa kilo anunue heineken basi wakawa wanangonoka mpk.. mwisho wa siku demu kampigia simu mchizi akamwambia kuanzi lleo mimi na wewe basi nina mtu wangu sasa hapo utasema nani kachezewa!!
Mndengereko, siku hizi nililogwa bwana, kuna watu wana majina ya kizungu lakini wachawi ile mbaya, usiombee ukutane na uchawi wa snowhiteanaweza kweli huyu kuimba si bora ungemchagua Bujibuji