Salamu za weekend

Wengine ni siku nyingine ya kukumbatia mto...

NB..MWANAUME HUSIPOKUWA NA HELA WEW SIO MTU...IN MADEMU'S VOICE
Ukitaka upendwe kuwa heshima nakujua kuwahandle wanawake kuna njia ukiijua ni raha sana .
Wanawake hawapendi hela hujajua tu wanapenda kampani na kumjali namatani na kumuona yeye ni rafiki yako so ukifanya hivyoo huwi mpweke
 
Sio kweli...mimi kuna mmoja nilionyesha kumjali akawa ananiita mshamba😂😂.......na mimi nikapiga chini mpaka leo huwa anajiuliza mwizukulu mgikuru huwa ana matatizo gani kichwani
 
Kuna staili zetu hujamjulia tu mwanamke yeyote atapenda vitu vizuri ila akishampata mtu tu naanajua yupo naye tosha hujui tu
 
Ukitaka upendwe kuwa heshima nakujua kuwahandle wanawake kuna njia ukiijua ni raha sana .
Wanawake hawapendi hela hujajua tu wanapenda kampani na kumjali namatani na kumuona yeye ni rafiki yako so ukifanya hivyoo huwi mpweke
Hahaha wanawake hawa hawa ambao haija julikana hitaji lao nini vizazi na vizazi?
 
Ukitaka upendwe kuwa heshima nakujua kuwahandle wanawake kuna njia ukiijua ni raha sana .
Wanawake hawapendi hela hujajua tu wanapenda kampani na kumjali namatani na kumuona yeye ni rafiki yako so ukifanya hivyoo huwi mpweke
Utawaita mashemeji watakuita shosti.
 
Back
Top Bottom