Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Tundu Lisu hajielewi.Hakuna tena kwenda mahakamani?Tundu Lissu alitishia kwenda mahakamani eti uchaguzi ulikuwa batili
Tuambieni hiyo gender balance iko wapi sasa?Mbona hamkusema uchaguzi urudiwe kwasababu waliochaguliwa wote ni wanawake?Hakuna tena kwenda mahakamani?Tundu Lissu alitishia kwenda mahakamani eti uchaguzi ulikuwa batili
JAMAN MNISAMEHE; KILIO CHANGU NI SISI WATUMISHI WA WILAYA YA ITILIMA KUCHANGISHWA MCHANGO WA MWENGE 5000 WATU WANAISHIA KUPAUA NYUMBA ZAO KWA MGONGO WA MWENGE MH. MAGUFULI MULIKA HUKU ITILIMA
Hakuna tena kwenda mahakamani?Tundu Lissu alitishia kwenda mahakamani eti uchaguzi ulikuwa batili
Hiyo unayemshtakia naye kapiga za rambirambi atakusikia kweli?JAMAN MNISAMEHE; KILIO CHANGU NI SISI WATUMISHI WA WILAYA YA ITILIMA KUCHANGISHWA MCHANGO WA MWENGE 5000 WATU WANAISHIA KUPAUA NYUMBA ZAO KWA MGONGO WA MWENGE MH. MAGUFULI MULIKA HUKU ITILIMA
ccm ni wanafiki lakini chadema ni wapuuzi..... Kete ilikua ni moja tuu leta watatu basi. Ccm walikua hawana jeuri ya kuteua wote wanawake busara zaidi inapaswa kutumika kuliko ujuaji mwingi.Tuambieni hiyo gender balance iko wapi sasa?Mbona hamkusema uchaguzi urudiwe kwasababu waliochaguliwa wote ni wanawake?
Nyinyi ni wanafiki wakubwa!
Changia tu hakuna namnaJAMAN MNISAMEHE; KILIO CHANGU NI SISI WATUMISHI WA WILAYA YA ITILIMA KUCHANGISHWA MCHANGO WA MWENGE 5000 WATU WANAISHIA KUPAUA NYUMBA ZAO KWA MGONGO WA MWENGE MH. MAGUFULI MULIKA HUKU ITILIMA
Wewe panya unaweza kujilinganisha na Lisu acha kujiabishaTundu Lisu hajielewi.
Akili yako imedumazwa na mabox kuli weweTundu Lisu kila kitu anatishia kwenda mahakamani....
Halafu si alisema atampeleka Makonda mahakamani....?
Bado tu hajaenda?
Walivomshangalia kipindi kile cha uchaguzi wa ki Saccoss chao [TLS] ungedhani ni ujio wa pili wa yesu
Akili yako imedumazwa na mabox kuli wewe
Unaonaje achukue Leo roho yako? Maana so dhani kama unafaida kwa taifa hili na hiyo roho yako mbaya ya kishetaniMUNGU wakati mwingine anatuachaniza sana! Yaani anenda kuchukua roho za wale malaika wadogo anatuachia mibunge ya CCM? Kwa nini asiyasubiri yako kwenye caucus anaporomosha jumba lote mara moja?