Salamu za pongezi kwa wabunge wateule wa EALA

Hakuna tena kwenda mahakamani?Tundu Lissu alitishia kwenda mahakamani eti uchaguzi ulikuwa batili
Wabunge wamepatikana tena toka Chadema mahakama ya nini tena, hivi akili hizi huwa mnazitolea sehemu gani?
 
Tundu Lisu kila kitu anatishia kwenda mahakamani....

Halafu si alisema atampeleka Makonda mahakamani....?

Bado tu hajaenda?

Walivomshangalia kipindi kile cha uchaguzi wa ki Saccoss chao [TLS] ungedhani ni ujio wa pili wa yesu:D:D
Eti TLS ni ki saccos, ulikuwa zamani siku hizi ni mwendo wa kumwaga pumba.
 
JAMAN MNISAMEHE; KILIO CHANGU NI SISI WATUMISHI WA WILAYA YA ITILIMA KUCHANGISHWA MCHANGO WA MWENGE 5000 WATU WANAISHIA KUPAUA NYUMBA ZAO KWA MGONGO WA MWENGE MH. MAGUFULI MULIKA HUKU ITILIMA
Hiyo taarifa peleka TAKUKURU au kwa DC vinginevyo hayo ni majungu.
 
ccm ni wanafiki lakini chadema ni wapuuzi..... Kete ilikua ni moja tuu leta watatu basi. Ccm walikua hawana jeuri ya kuteua wote wanawake busara zaidi inapaswa kutumika kuliko ujuaji mwingi.
Wabunge wa CCM walikuwa sawa na 'label stamp' tu na wao waonekane kama wameshiriki, kwa sababu waliochaguliwa wote waliteuliwa na kamati kuu ya Chadema maana yake chama kilishawaamini kabla hata ya wabunge wa CCM kuwapigia kura.
 
MUNGU wakati mwingine anatuachaniza sana! Yaani anenda kuchukua roho za wale malaika wadogo anatuachia mibunge ya CCM? Kwa nini asiyasubiri yako kwenye caucus anaporomosha jumba lote mara moja?
Kwa mawazo haya nadhani wewe ndio utakaetangulia mbele ya haki
 
JAMAN MNISAMEHE; KILIO CHANGU NI SISI WATUMISHI WA WILAYA YA ITILIMA KUCHANGISHWA MCHANGO WA MWENGE 5000 WATU WANAISHIA KUPAUA NYUMBA ZAO KWA MGONGO WA MWENGE MH. MAGUFULI MULIKA HUKU ITILIMA
Ndio faida zakukata upinzani hizo
 
Hongereni sana lakini naona kama yamekuwa yaleyale kuwa usawa umegeuka upande wa pili,
 
Wabunge wa CCM walikuwa sawa na 'label stamp' tu na wao waonekane kama wameshiriki, kwa sababu waliochaguliwa wote waliteuliwa na kamati kuu ya Chadema maana yake chama kilishawaamini kabla hata ya wabunge wa CCM kuwapigia kura.
Mapenzi ya Chadema yalikuwa kwa Masha na Wenje, sio kwa hao wadada. Kaangalie matokeo ya kura utaelewa
 
Tundu Lisu kila kitu anatishia kwenda mahakamani....

Halafu si alisema atampeleka Makonda mahakamani....?

Bado tu hajaenda?

Walivomshangalia kipindi kile cha uchaguzi wa ki Saccoss chao [TLS] ungedhani ni ujio wa pili wa yesu:D:D
Duh, unaonekana unagubu kweli na Lissu! Sijui ni hasira za kubaguliwa huko uboxini au nini.
 
Wabunge wa CCM walikuwa sawa na 'label stamp' tu na wao waonekane kama wameshiriki, kwa sababu waliochaguliwa wote waliteuliwa na kamati kuu ya Chadema maana yake chama kilishawaamini kabla hata ya wabunge wa CCM kuwapigia kura.
Kesi imefutwa mahakamani? .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom