Lucas
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,457
- 1,110
Mwanangu kwanza nimefurahi sana kukuona leo umefunga ndoa!! na kwa hilo namuomba Mungu akupe watoto wenye akili kama Erickb52, warembo kama charminglady, wenye heshima kama Smile, wachangamfu kama Kongosho, wasiwe wambea kama Madame B, wala wasiwe wachokozi kama BAGAH na Nicas Mtei, Muwalee wawe wacha Mungu kama @firtstlady1.
jihadharini na ushauri wa Bishanga na Asprin kwenye ndoa yenu, maana hawa waliishia kuhatarisha ndoa za wengi hapa, na mjifunze kwa Rejao na Cantalisia ili msije kuwa kama Mwali na @st Ivuga. muwe makini na watu wanaokuja kwa msimu tu kama mtotosix, na tena jitahidini kusoma vitabu vya watu kama Mtambuzi na Mzee Mwanakijiji ila muwe na kiasi katika kila jambo kama The Boss
waleeni watoto wenu vizuri ili yasije wakuta yaliyomkuta Arushaone kwa mtoto wake Ruhazwe JR, na mkipata nafasi kaeni na kuongea na Mamndenyi juu ya topiki za mama ushauri, ila muwe makini asije kuwaambukiza kuwa na watoto weeeengi kama yeye!!
wanangu jitahidini sana kutenganisha siasa na ndoa yenu kama ilivyo kwa Rejao na Cantalisia maana laiti wasingejua hilo basi labda couple ya Rejao angekuwa FF ama Cantalisia angekuwa na pakajimy!!
mwisho kabisa napenda kuwaaambia kuwa muilinde ndoa yenuw kama Paw na mwenzake Invisible wanavyohakikisha hakuna uchakachuaji chitchat.... tena na kwa kutambua umuhimu wa hilo nawapa mtani wangu FP na mtoto2012 kwa ajili ya kuwasaidia kwa shughuli zenu za ndani maana tunakaribia kuwafukuza hawa huku kwetu ili warydi kwao sasa amenisihi sana nimtafutie cha kufanya kabla hawajafukuzwa kurudi kwao
na mkihitaji kijana wa kufagia uwanja msihofu snowhite pia yupo tayari kabisa kwa hilo
NB: kaeni mbali sana na wajukuu wa Asprin wasije haribu ndoa yenu
nawatakia kila la heri

Last edited by a moderator: