- Thread starter
- #41
Huo ndo ulikiwa uwaki wenyewe. Hoja yangu ina mashiko kama ukiisoma bila wenge!kiufupi watu mmesha pinda nakumbuka kuna jamaa aliwahi kutoa hoja za kiwaki kama hizi, yeye alidai lile neno wanaolitumiaga wakristo makanisani la bwana yesu asifiwe eti haliko sahihi eti kwa sababu wanapo sema bwana yesu asifiwe wanataka afiwe nani?
haina mashiko ni mawenge matupuHuo ndo ulikiwa uwaki wenyewe. Hoja yangu ina mashiko kama ukiisoma bila wenge!
Sent from my Infinix X697 using JamiiForums mobile app
Pombe ikiisha utanielewa mkuu!haina mashiko ni mawenge matupu
usiwasilimie,si hutaki kuwaambia wakubwa 'nipo chini yako'Na ukikutana na waswahili unasalimiana nao vipi?
Sent from my Infinix X697 using JamiiForums mobile app
Mzee anatakiwa kunipita kuanzia miaka mingapi? Na aliyenizidi miaka mingapi sipaswi kumsalimia?Nakubaliana na wewe kama kijana ila kwa mzee mpe tu hiyo shkamoo maisha yasonge zama zake zitapita.
Ila kama shkamoo ni kujiweka chini ya mtu hapo haijalishi umri umemzidi ama amekuzidi, binafsi hii salamu imekuwa ikiniletea ukakasi tangu nilipojua kwa sehemu maana yake. Sivutiwi sana kuamkia shikamooHii salam hata mimi sijawahi kuielewa. Naona haijakaa kabisa katika mazingira ya usawa. Nadhani tungetafuta salam sahihi ya kusalimiana kwa makundi yote katika jamii.
Hakuna kitu kinakera kama kile cha kumsalimia mtu shikamoo, halafu baadaye unakuja kugundua kumbe umezidi umri!!!
Mbaya zaidi kuna wakati inakupa tabu ya kuanza kufanya betting ya umri wa mtu. Unaogopa kumwamkia na kutomwamkia kwa wakati mmoja. Salamu ya kiwaki hii!Ila kama shkamoo ni kujiweka chini ya mtu hapo haijalishi umri umemzidi ama amekuzidi, binafsi hii salamu imekuwa ikiniletea ukakasi tangu nilipojua kwa sehemu maana yake. Sivutiwi sana kuamkia shikamoo
Ameshasema Kuna namna fulani ina athiri hali ya ndani zaidi ya mtu.Ukimuamkia mtu unapungukiwa na nini?
Vijana wa siku hizi mnashida sana.
Sokubaliani na wewe katika hii hoja yako. Kwamba kwa kuwa watu wamezoea ndoa za jinsia moja basi tuifanye kuwa ni halali? Ama mwanaume akivaa nguo za kike basi atambuliwe kama mwanamke sababu amevaa hivyo kwa muda mrefu akazoeleka katika jamii? Hapana!Kuna baadhi ya maneno ya Kiarabu yalijichomeka kwenye Lugha ya Kiswahili baada ya ujio wa wakoloni wa kiarabu.
Kuingia kwa maneno hayo haimaanishi tena kuwa yanaendelea kuwa kiarabu na kutafuta maana yake usilitafute kutoka kwenye asili yake Bali libaki la kiswahili hivyo hivyo ndio maana Mwarabu hawezi kuongea kiswahili mpaka ajifunze.
Kwa minajili hiyo, neno shikamoo kama lilivyo kwenye kiswahili kwa Sasa hivi ndio salamu Bora ya heshima ya kiswahili kumsalimia mtu aliyekuzidi umri. Na tusitafute tena maana ya kiarabu ya neno hilo Bali litafsiriwe maana mpya kwa kiswahili ili kulipa hadhi maana haliwezi tena kutoka kwenye lugha.
Kama kigezo cha salamu ni ukubwa ina maana hata mapacha wanaozaliwa wakipishana dakika moja inamlazimu doto amuamkie kurwa! Ila ukiamua kuikataa aina hii ya salamu haikalishi umepitwa miaka mingapi, haifai haifai tuMzee anatakiwa kunipita kuanzia miaka mingapi? Na aliyenizidi miaka mingapi sipaswi kumsalimia?
Sent from my Infinix X697 using JamiiForums mobile app
Asante sana Jimmy kwa mchango wako ulioshiba. Hii salamu ni utumwa mtupu! Sema ndo hivyo, mtu akizoea kulala kwenye bati, baadaye anaamini bati ndiyo godoro!Ameshasema Kuna namna fulani ina athiri hali ya ndani zaidi ya mtu.
Sokubaliani na wewe katika hii hoja yako. Kwamba kwa kuwa watu wamezoea ndoa za jinsia moja basi tuifanye kuwa ni halali? Ama mwanaume akivaa nguo za kike basi atambuliwe kama mwanamke sababu amevaa hivyo kwa muda mrefu akazoeleka katika jamii? Hapana!
Umenisoma vizuri lakini mkuu? Au umeamua ku-conclude kwanza, utasoma baadaye?Salamu ya shikamoo haina shida.mwenye shida ni wewe kwasababu inatafsiri kwa mawazo yako ambayo yanaweza yasiwe sahihi,kwasababu hiyo salamu imekidhi vigezo vyote vya salamu.Dhumuni la kwanza la salamu ni kujuliana hali,la pili nikupeana heshima miongoni mwa jamii.Shikamoo imekidhi vyote hivyo.Lugha zote dunian zina salamu na maana yake ni sawa sawa na shikamoo kwa kiswaili.Tuachane na chanzo cha neno shikamoo kwasababu lugha zinakua,na maana huwa zinabadilika kati ya lugha na lugha cha msingi tujikite kwenye madhumuni yake.Tofauti na hapo unataka tuwe na lugha ambayo haina salamu jambo ambalo hakuna jamii ya hivyo duniani.Mambo mengine ya kudharau au kuichukia shikamoo yanasababishwa na mmomonyoko wa maadili lakini kiswahili kipo na shikamoo ipo na haina shida.
Unaweza usilitafsiri neno kwa neno lakini hii haipotezi asili yake na maana yake halisi ya hapo mwanzo kabisa. Hiyo maana yake ndiyo tunayo pingana nayoShikamoo ni neno la kiswahili, kwa level iliyofikia lugha ya kiswahili kwa sasa sio vyema kuanza kuiporomoshea kasoro zenu zisizo na tija
Ktk lugha kuna kitu kinaitwa exclamation words
Ni maneno yanayowasilisha hisia km ilivyo neno la kiswahili 'shikamoo' unapolitumia kuonesha heshima uliyo nayo juu ya mtu aliyekuzd umri
Sio kila neno Lina taratibu ya kutafsiriwa kwa word by word format.
Upo sahihi. Wanapaswa kufanya jambo .BAKITA dhamana yenu, toeni neno shikomoo halina maana kwa zama hizi.
Pamoja mkuuAsante sana Jimmy kwa mchango wako ulioshiba. Hii salamu ni utumwa mtupu! Sema ndo hivyo, mtu akizoea kulala kwenye bati, baadaye anaamini bati ndiyo godoro!
Sent from my Infinix X697 using JamiiForums mobile app