Salamu ya Shikamoo ni ya kitumwa

Kuna watu wana madhaifu makubwa ambayo katika jamii ni jambo la aibu sana likijulikana wazi wazi, kwa mfano mtu anayejikojolea kitandani, mtu mwenye wivu asiyependa kuona wengine wanaendelea hata kama yeue mwenyewe anapiga hatua ila hapendi tu kuona mwingine naye anafanikiwa katika maisha yake na mambo mengine mengi kama hayo. Sasa ukijitiisha chini ya mtu kama hyu na wewe hauna udhaifu huo, automatically unajikuta upo chini ya himaya yake na nguvu hasi iliyopo juu yake inaanza kukuendesha pasipo ridhaa yako unajikuta tu unafanya mambo ambayo ki asili siyo tabia yako na hupendi unalazimika tu. Hapa nimejaribu kukuonesha tu kwa sehemu, na nikwambie kwamba wewe unayekuwa chini ya mtu huyo jambo hilo linajidhihirisha kwa kiasi kikubwa zaidi kwako kuliko kwake kama ule usemi unaosema "vya kurithi vinazidi".
Unatakiwa kufahamu kwamba kujishusha si unyonge.
 
Back
Top Bottom