Salamu ya Shikamoo ni ya kitumwa

Salamu ya shikamoo haina shida.mwenye shida ni wewe kwasababu inatafsiri kwa mawazo yako ambayo yanaweza yasiwe sahihi,kwasababu hiyo salamu imekidhi vigezo vyote vya salamu.Dhumuni la kwanza la salamu ni kujuliana hali,la pili nikupeana heshima miongoni mwa jamii.Shikamoo imekidhi vyote hivyo.Lugha zote dunian zina salamu na maana yake ni sawa sawa na shikamoo kwa kiswaili.Tuachane na chanzo cha neno shikamoo kwasababu lugha zinakua,na maana huwa zinabadilika kati ya lugha na lugha cha msingi tujikite kwenye madhumuni yake.Tofauti na hapo unataka tuwe na lugha ambayo haina salamu jambo ambalo hakuna jamii ya hivyo duniani.Mambo mengine ya kudharau au kuichukia shikamoo yanasababishwa na mmomonyoko wa maadili lakini kiswahili kipo na shikamoo ipo na haina shida.
Ndugu yangu jua wazi kutokujua jambo hakukupatii haki ya kuhesabiwa huna hatia pale unapo liharifu jambo husika! Tayari shikamoo inadhihirisha wazi unajitiisha chini ya mamlaka ya mtu mwingine na kwa bahati mbaya sana athari zake zinaweza zisijitokeze kwa haraka! Sioni sababu ya kujitiisha chini ya mtu eti kwa kigezo cha heshila ama adabu. Kama huyo mtu hanielewi ninapo msalimia habari yako? Salamu nk nje ya shikamoo basi. Kwa sababu salamu ni maneno na maneno huumba. Salamu si kitu cha ovyo ovyo tu ndiyo maana mtu akikukosea ama mkigombana inaleta shida sana kusalimiana siyo tu kwa shikamoo bali hata kumwambia za saa hizi? Ama umeshindaje? Inakuwa ngumu maana inakataa ndani, labda kama unasalimia kinafiki
 
Ameshasema Kuna namna fulani ina athiri hali ya ndani zaidi ya mtu.

Sokubaliani na wewe katika hii hoja yako. Kwamba kwa kuwa watu wamezoea ndoa za jinsia moja basi tuifanye kuwa ni halali? Ama mwanaume akivaa nguo za kike basi atambuliwe kama mwanamke sababu amevaa hivyo kwa muda mrefu akazoeleka katika jamii? Hapana!
Mbona hoja yangu Wala Haina mahusiano na maujinga uliyoyajibu? Ukiona mtu anatajataja jambo Fulani ndio lipo kichwani pake ,au walishakuvua ubingwa nini?
 
Hayo ni mawazo yako nimejaribu kukutolea mfano wa jambo zito ili uone namna halisi ilivyo. Naona umegadhibika na kutoa kauli ngumu. Pole mkuu
Mbona hoja yangu Wala Haina mahusiano na maujinga uliyoyajibu? Ukiona mtu anatajataja jambo Fulani ndio lipo kichwani pake ,au walishakuvua ubingwa nini?
 
Ndugu yangu jua wazi kutokujua jambo hakukupatii haki ya kuhesabiwa huna hatia pale unapo liharifu jambo husika! Tayari shikamoo inadhihirisha wazi unajitiisha chini ya mamlaka ya mtu mwingine na kwa bahati mbaya sana athari zake zinaweza zisijitokeze kwa haraka! Sioni sababu ya kujitiisha chini ya mtu eti kwa kigezo cha heshila ama adabu. Kama huyo mtu hanielewi ninapo msalimia habari yako? Salamu nk nje ya shikamoo basi. Kwa sababu salamu ni maneno na maneno huumba. Salamu si kitu cha ovyo ovyo tu ndiyo maana mtu akikukosea ama mkigombana inaleta shida sana kusalimiana siyo tu kwa shikamoo bali hata kumwambia za saa hizi? Ama umeshindaje? Inakuwa ngumu maana inakataa ndani, labda kama unasalimia kinafiki
Kama hajakuelewa kwa maelezo haya, bsi akili yake ni landlocked

Sent from my Infinix X697 using JamiiForums mobile app
 
Kwani ukimwambia mtu mkubwa aliyekuzidi umri upo kwa kujishusha upo chini yake tatizo lipo wapi?
 
Hivi bado kuna haja ya kuendelea kuitumia hii salamu katika zama zetu hizi? Kwa lipi hasa?

Katika misingi ya salamu zote kwa lugha zote duniani hakuna kitu chenye mfanano na "shikamoo".

Ili kujua kama shikamoo sio salamu ya kukumbatia, tuanze kwa kujua maana ya salamu na dhima yake.

Salamu ni tamko la awali watu wanapokutana kwa mara ya kwanza baada ya kupita kitambo fulani bila kuonana, mathalani baada ya kuamka, kabla ya kuanza safari au kazi na hata baada ya hayo.

Salamu hutoa muunganiko kati ya mtu na mtu, au mtu na watu, kabla ya kuanza siku, kazi, ibada, au shughuli ya aina yoyote inayowaunganisha pamoja kwa wakati huo. Kimsingi dhima ya salamu ni kujuliana hali na kutakiana heri.

Kwa upande mwingine, salamu ni lango. Linaweza kuwa lango la baraka na heri au lango la nuksi na laana. Kwa hivyo, salamu ni lango la mtu kumpokea mtu mwingine kabla ya kufanya jambo lolote. Ni sahihi pia kusema kwamba salamu imebeba pia roho ya mtu. Dhamira mbaya au hai huanzia kwenye salamu.

Wachawi na washirikina hutumia salamu pia kama nyenzo ya kupenyeza sihiri na ulozi kwa waliowakusudia. Ndiyo maana baadhi ya watu hukataa kuitikia salamu za wanaowahisi kuwa wabaya wao, kwa imani kama hizi. Na si tu kupokea salamu, bali hata kutoa salamu. Katika ulimwengu usionekana kuna watu wana uwezo wa kupokonya baraka na nyota yako kupitia salamu yako kwake, au yake kwako.

Kama huamini hayo, kasome kitabu cha Luka 1: 28-29, Mariam alipotembelewa na Malaika Gabriel; alikuja na salamu iliyomshangaza mpaka akahoji, salamu hii ni salamu ya aina gani? Mariam alitaka kujua kama ilikuwa ya heri au ya shari. Mpaka Gabriel alipomhakikishia kuwa ilikuwa ya heri, ndipo akaipokea kwa mikono miwili.

Lakini pia katika Luka 10:4, Yesu akiwa anawaagiza wanafunzi kwenda kuhubiri injili mahala fulani, aliwapa onyo zito wale mitume, "njiani msimwamkie mtu yeyote...." Umeona? Kwanini? Salamu ni lango la uharibifu pia. Kuna watu ukisalimiana nao tu, mambo yako yanaharibika.

Hii ni mifano michache inayodhihirisha kuwa salamu ina nguvu ya kujenga au kubomoa, kuleta wepesi au uzito kwenye mwenendo mzima wa maisha ya kila siku ya watu.

Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipokuja na salamu ya, Nawasalimu katika jina la Muungano wa Tanzania, Kazi iendelee...nilimwelewa mno na kumuunga mkono. Natamani sana kuona anaigeukia na hii salamu inayoendeleza utukufu wa colonial after effect na mental slavery ya siku nyingi.

Shikamoo ilitoka wapi? Historia yake sote tunaijua. Iliasisiwa katika kipindi cha utwana wa biashara ya utumwa na utumwa wenyewe. Wale mabwana waliojivika ubwana mkubwa walikuwa wakisalimiwa na watumwa kwa mtindo wa kuinama na kuwashika miguu yao na hata kuibusu; "niko chini ya miguu yako."
Ni ishara ya juu ya ku-surrender, kwamba lolote bwana mkubwa atakalosema au kuamua juu yako, ni hewala!

Nafahamu fika, kwasasa hakuna anayeitumia shikamoo katika muktadha wa kuwa chini ya miguu ya mtu, la hasha. Lakini ukweli ni kuwa salamu hiyo ingali inatutesa; kwa kujua au kutokujua. Na pengine moja ya sababu zisizoonekana za watoto wengi kuwa chini ya utegemezi wa wazazi au walezi wao mpaka wanapatwa na mvi, ni hiyo salamu. Na pengine kama taifa, tunaendelea kuwa chini ya miguu yao kiuchumi, kimaarifa, na hata kiutamaduni kwa sababu ya nguvu ya hii salamu, shikamoo. (A little bit joking but it's alarming)

Bila kupepesa macho, Shikamoo ni salamu ya kitumwa na haina maana. Nakupa mifano;

Katika salamu zote duniani, ni shikamoo ndiyo salamu inayoweza kumuumiza mtu kichwa kabla ya kuitoa. Yaani badala ya kumsalimu binadamu mwenzako kwa roho safi, unaanza kujipa kazi ya kukadiria umri wake. Hivi huyu mtu ni mkubwa au mdogo? Amenizidi sana au tunalingana? Nimwamkie au nimwambie 'za saa hizi'? Salamu inayoanza kukutesa kabla ya kuitoa ni ithibati ya utumwa kama sio uchizi.

Ni shikamoo pekee inayosababisha tuogope kusalimia baadhi ya watu "Haujambo!" Leo hii ukimwambia mtu anayeamini kuwa mkubwa kiumri zaidi yako, 'haujambo?' atakujia juu na maneno ya laana utatupiwa! Unaniambia mimi haujambo? Huna adabu...umekuwa eh?

Lakini haujambo si ndiyo how are you? Si ndiyo Como esta? Si ndiyo comment ca? Shida nini? Kwa hiyo haujambo anatakiwa kuambiwa nani? Kuna utumwa zaidi ya huu? Yaani salamu itumike kukupandisha chati, uonekane mkubwa kuliko yeye au wao! Ndiyo kazi ya salamu hiyo? Si ndio utwana wenyewe huu?

Ni shikamoo pekee, salamu inayoweza kukufedhehesha kama ukiitoa kimakosa. Salamu inaanzaje kukufedhesha? Niliwahi kumwamkia mama mmoja, shikamoo; nikamuona anaangua bonge la kicheko. We Foroy, umesahau tulisoma darasa moja shule ya msingi? Godamn!! Nikaanza kujikuna kichwa kwa fadhaa! Fadhaa ya nini kwenye salamu?

Kuanzia hapo, nikasema ntapunguza kuamkia watu hovyo hovyo. Kumbe najitengenezea mazingira ya kufedheheka kwa mara ya pili.

Safari hii akaja dada fulani nyumbani, nikiwa na shangazi yangu. Sikumwamkia huyo dada. Baadaye shangazi akamtambulisha huyo dada, umemuona Foroy alivyokuwa? Umemtambua? Yule mama ndiyo kuachama kwa mshangao huku akinitupia jicho la pembeni....Kale ka-Foro tulikuwa tunakabeba mgongoni mpaka kanatukojolea?! We Foro hujambo? Mbona hujaniamkia? Ndiyo umekuwa hivi!!

Niliitoa shikamoo kwa mateso huku jasho likinitoka. Nauliza tena, kuna utumwa mkubwa kuliko huu? Ya nini mateso makali haya? Kisa ni shikamoo? Hii ni pure psychological slavery!

Na ukitaka kuamini hilo, fanya utafiti huu. Waswahili wenzetu wenye asili ya kiarabu wengi wao hawatumii sana hii salamu. Salamu rasmi na yenye mantiki ni Salam Aleykum; amani iwe kwenu. Hii ni salamu safi na halali kabisa. Salamu yenye mantiki. Hata Bwana Yesu alikuwa akiitumia mara zote. Wala si salamu ya kiislamu pekee kama wengi wanavyodhani.

Mtoto wa kiarabu hata kama yupo darasa la pili, hawezi kukwambia shikamoo, atakwambia Salam aleykum. Nina experience na hili, na nimelifanyia utafiti wa kutosha. Na wala sina shida na hilo. Ni halali kabisa.
Wao wenye kujua chimbuko la lugha ya kiswahili ambayo ndani yake kiarabu kina mchango mkubwa, hawaitumii shikamoo, sisi tumeikumbatia. Dubai, Saudia mpaka Yemen, kote huko huwezi kukutana na shikamoo, na bado tunaambiwa ni neno la kiarabu.

Waama! Tuna kipaji kikubwa cha kukumbatia mambo yasiyo na maana!

Katika lugha zote duniani, hata za makabila yetu salamu haitenganishi wala kubagua umri wa mtu. Salamu inapaswa kuunganisha watu. Sio kutisha watu na kuwapa kibarua cha kukadiria umri za watu. Kikubwa ni heshima na namna ya kuitoa. Vinginevyo, salamu ina kazi moja tu, ya kujuliana hali na kutakiana heri. Kuendelea kutumia shikamoo ni kukuendelea kukumbatia na kuenzi utumwa. Kimsingi ni salamu inayopaswa kuwekwa kwenye makumbusho ya taifa.

NAMAZILIA...

Wakati fulani nikawa nimepanga nyumba fulani, na jirani yangu alikuwa kijana mmoja tuliyekuwa tukiheshimiana sana. Ingawa alikuwa na mke na watoto wawili, bado mimi nilikuwa mkubwa kwake kiumri pamoja na kuishi kibachela. Na hatukuacha kuheshimiana.

Siku moja, kijana huyo akatembelewa na mama yake mzazi. Kwa umri wangu na kukadiria umri wa mama yake, sikuona kama nilikuwa na sababu ya kumpa shikamoo. Nikawa namsalimu kwa adabu kabisa, lakini kwa salamu za kawaida mbali na shikamoo.

Kumbe kijana akaonea namkosea adabu mzazi wake. Na sijui kama walijadiliana na mama yake au la! Lakini inaonesha siku hiyo alininywea pombe na kuamua kuja kunichana, kwanini namchukulia poa Bi mkubwa wake? Kwanini simwamkii kama wapangaji wengine? Nilisononeka kwa kweli, lakini sikumuacha na ujinga wake.

Nikamuuliza kistaarabu, mama yake ana miaka mingapi? Akanijibu 54. Na yeye? Akanambia alikuwa na miaka 32. Nikamfahamisha kuwa mimi nilikuwa na miaka 45... miaka 13 pungufu yake. Nikataka kujua, kwanini mimi alikuwa haniamkii shikamoo? Akaacha mdomo wazi.

Nikaenda mbali kwa kumjuza kuwa dada yangu wa kwanza ana miaka 62 na huwa tunasalimiana kikawaida bila kuingiza shikamoo. Kwa hivyo hata mama yake ni kama dada yangu!
Aliondoka akiwa anasonya, na tangu siku ile hakunichangamkia tena!

Japo nilimpuuza na kumhurumia lakini nilijiuliza sana, huu utumwa wa salamu ya shikamoo utaendelea kututesa na kuharibu ujamaa wetu hadi lini? Je, sio muhimu sasa tukaamua kuachana na zama za shikamoo ya nipo chini ya miguu yako? Natamani kiongozi mkuu atoe tamko!

Kuna kila sababu ya kureview upya hii salamu. Tusije tukawa kwenye kifungo cha kukiri utumwa bila kujitambua. Shime sasa!

#Mentalslavery

tumia CHEICHEI.
 
Kwani ukimwambia mtu mkubwa aliyekuzidi umri upo kwa kujishusha upo chini yake tatizo lipo wapi?
Kuna watu wana madhaifu makubwa ambayo katika jamii ni jambo la aibu sana likijulikana wazi wazi, kwa mfano mtu anayejikojolea kitandani, mtu mwenye wivu asiyependa kuona wengine wanaendelea hata kama yeue mwenyewe anapiga hatua ila hapendi tu kuona mwingine naye anafanikiwa katika maisha yake na mambo mengine mengi kama hayo. Sasa ukijitiisha chini ya mtu kama hyu na wewe hauna udhaifu huo, automatically unajikuta upo chini ya himaya yake na nguvu hasi iliyopo juu yake inaanza kukuendesha pasipo ridhaa yako unajikuta tu unafanya mambo ambayo ki asili siyo tabia yako na hupendi unalazimika tu. Hapa nimejaribu kukuonesha tu kwa sehemu, na nikwambie kwamba wewe unayekuwa chini ya mtu huyo jambo hilo linajidhihirisha kwa kiasi kikubwa zaidi kwako kuliko kwake kama ule usemi unaosema "vya kurithi vinazidi".
 
Umeandika jambo la msingi sana ambalo binafsi huwa nalifikiria sana, hiyo salamu imekaa kikuda sana.

Naunga mkono hoja tuachane na shikamoo, nakumbuka salamu ya marehemu Mzee mkapa akikutana na waandishi au wananchi ni MAMBOOO.
...Na Wao wanamjibuje ??
 
..Hulazimishwi Wala hutashitakiwa Kwa Kuachana Shikamoo.
Ni hiyari Yako TU Kitoto Shikamoo.
Anza wewe na Wengine Wengi watafuata Mkuu !
Anza zoezi ukiamka asubuhi usimpe Baba Yako na Mama Yako Shikamoo, na umuambie TU 'Maamboo?' !

Naamini ndio Utajua kuwa Hujui !!
 
Ni salaam moja ya kinafiki na inatumika vibaya sana. Mtu anayekusalimu shikamoo anatakiwa akuheshimu lakini kiuhalisia haipo hivyo anaweza kukwambia shikamoo halafu akakutukana tusi kubwa au kukufanyia jambo lolote lile la kukosa adabu l kwa namna yoyote ile dakika.chache tu zinazifuata.

Nionavyo watu wengi wanaitumia kama kumwambia tu mtu wewe mzee mimi mtoto zaidi yako. Maana halisi ya hii salam kwamba ni heshima ilishapotea kitambo.

Na shikamoo ndio mchawi anayedumaza akili za watanzania...tuachane na hii salam ya kipumbavu
 
Hivi bado kuna haja ya kuendelea kuitumia hii salamu katika zama zetu hizi? Kwa lipi hasa?

Katika misingi ya salamu zote kwa lugha zote duniani hakuna kitu chenye mfanano na "shikamoo".

Ili kujua kama shikamoo sio salamu ya kukumbatia, tuanze kwa kujua maana ya salamu na dhima yake.

Salamu ni tamko la awali watu wanapokutana kwa mara ya kwanza baada ya kupita kitambo fulani bila kuonana, mathalani baada ya kuamka, kabla ya kuanza safari au kazi na hata baada ya hayo.

Salamu hutoa muunganiko kati ya mtu na mtu, au mtu na watu, kabla ya kuanza siku, kazi, ibada, au shughuli ya aina yoyote inayowaunganisha pamoja kwa wakati huo. Kimsingi dhima ya salamu ni kujuliana hali na kutakiana heri.

Kwa upande mwingine, salamu ni lango. Linaweza kuwa lango la baraka na heri au lango la nuksi na laana. Kwa hivyo, salamu ni lango la mtu kumpokea mtu mwingine kabla ya kufanya jambo lolote. Ni sahihi pia kusema kwamba salamu imebeba pia roho ya mtu. Dhamira mbaya au hai huanzia kwenye salamu.

Wachawi na washirikina hutumia salamu pia kama nyenzo ya kupenyeza sihiri na ulozi kwa waliowakusudia. Ndiyo maana baadhi ya watu hukataa kuitikia salamu za wanaowahisi kuwa wabaya wao, kwa imani kama hizi. Na si tu kupokea salamu, bali hata kutoa salamu. Katika ulimwengu usionekana kuna watu wana uwezo wa kupokonya baraka na nyota yako kupitia salamu yako kwake, au yake kwako.

Kama huamini hayo, kasome kitabu cha Luka 1: 28-29, Mariam alipotembelewa na Malaika Gabriel; alikuja na salamu iliyomshangaza mpaka akahoji, salamu hii ni salamu ya aina gani? Mariam alitaka kujua kama ilikuwa ya heri au ya shari. Mpaka Gabriel alipomhakikishia kuwa ilikuwa ya heri, ndipo akaipokea kwa mikono miwili.

Lakini pia katika Luka 10:4, Yesu akiwa anawaagiza wanafunzi kwenda kuhubiri injili mahala fulani, aliwapa onyo zito wale mitume, "njiani msimwamkie mtu yeyote...." Umeona? Kwanini? Salamu ni lango la uharibifu pia. Kuna watu ukisalimiana nao tu, mambo yako yanaharibika.

Hii ni mifano michache inayodhihirisha kuwa salamu ina nguvu ya kujenga au kubomoa, kuleta wepesi au uzito kwenye mwenendo mzima wa maisha ya kila siku ya watu.

Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipokuja na salamu ya, Nawasalimu katika jina la Muungano wa Tanzania, Kazi iendelee...nilimwelewa mno na kumuunga mkono. Natamani sana kuona anaigeukia na hii salamu inayoendeleza utukufu wa colonial after effect na mental slavery ya siku nyingi.

Shikamoo ilitoka wapi? Historia yake sote tunaijua. Iliasisiwa katika kipindi cha utwana wa biashara ya utumwa na utumwa wenyewe. Wale mabwana waliojivika ubwana mkubwa walikuwa wakisalimiwa na watumwa kwa mtindo wa kuinama na kuwashika miguu yao na hata kuibusu; "niko chini ya miguu yako."
Ni ishara ya juu ya ku-surrender, kwamba lolote bwana mkubwa atakalosema au kuamua juu yako, ni hewala!

Nafahamu fika, kwasasa hakuna anayeitumia shikamoo katika muktadha wa kuwa chini ya miguu ya mtu, la hasha. Lakini ukweli ni kuwa salamu hiyo ingali inatutesa; kwa kujua au kutokujua. Na pengine moja ya sababu zisizoonekana za watoto wengi kuwa chini ya utegemezi wa wazazi au walezi wao mpaka wanapatwa na mvi, ni hiyo salamu. Na pengine kama taifa, tunaendelea kuwa chini ya miguu yao kiuchumi, kimaarifa, na hata kiutamaduni kwa sababu ya nguvu ya hii salamu, shikamoo. (A little bit joking but it's alarming)

Bila kupepesa macho, Shikamoo ni salamu ya kitumwa na haina maana. Nakupa mifano;

Katika salamu zote duniani, ni shikamoo ndiyo salamu inayoweza kumuumiza mtu kichwa kabla ya kuitoa. Yaani badala ya kumsalimu binadamu mwenzako kwa roho safi, unaanza kujipa kazi ya kukadiria umri wake. Hivi huyu mtu ni mkubwa au mdogo? Amenizidi sana au tunalingana? Nimwamkie au nimwambie 'za saa hizi'? Salamu inayoanza kukutesa kabla ya kuitoa ni ithibati ya utumwa kama sio uchizi.

Ni shikamoo pekee inayosababisha tuogope kusalimia baadhi ya watu "Haujambo!" Leo hii ukimwambia mtu anayeamini kuwa mkubwa kiumri zaidi yako, 'haujambo?' atakujia juu na maneno ya laana utatupiwa! Unaniambia mimi haujambo? Huna adabu...umekuwa eh?

Lakini haujambo si ndiyo how are you? Si ndiyo Como esta? Si ndiyo comment ca? Shida nini? Kwa hiyo haujambo anatakiwa kuambiwa nani? Kuna utumwa zaidi ya huu? Yaani salamu itumike kukupandisha chati, uonekane mkubwa kuliko yeye au wao! Ndiyo kazi ya salamu hiyo? Si ndio utwana wenyewe huu?

Ni shikamoo pekee, salamu inayoweza kukufedhehesha kama ukiitoa kimakosa. Salamu inaanzaje kukufedhesha? Niliwahi kumwamkia mama mmoja, shikamoo; nikamuona anaangua bonge la kicheko. We Foroy, umesahau tulisoma darasa moja shule ya msingi? Godamn!! Nikaanza kujikuna kichwa kwa fadhaa! Fadhaa ya nini kwenye salamu?

Kuanzia hapo, nikasema ntapunguza kuamkia watu hovyo hovyo. Kumbe najitengenezea mazingira ya kufedheheka kwa mara ya pili.

Safari hii akaja dada fulani nyumbani, nikiwa na shangazi yangu. Sikumwamkia huyo dada. Baadaye shangazi akamtambulisha huyo dada, umemuona Foroy alivyokuwa? Umemtambua? Yule mama ndiyo kuachama kwa mshangao huku akinitupia jicho la pembeni....Kale ka-Foro tulikuwa tunakabeba mgongoni mpaka kanatukojolea?! We Foro hujambo? Mbona hujaniamkia? Ndiyo umekuwa hivi!!

Niliitoa shikamoo kwa mateso huku jasho likinitoka. Nauliza tena, kuna utumwa mkubwa kuliko huu? Ya nini mateso makali haya? Kisa ni shikamoo? Hii ni pure psychological slavery!

Na ukitaka kuamini hilo, fanya utafiti huu. Waswahili wenzetu wenye asili ya kiarabu wengi wao hawatumii sana hii salamu. Salamu rasmi na yenye mantiki ni Salam Aleykum; amani iwe kwenu. Hii ni salamu safi na halali kabisa. Salamu yenye mantiki. Hata Bwana Yesu alikuwa akiitumia mara zote. Wala si salamu ya kiislamu pekee kama wengi wanavyodhani.

Mtoto wa kiarabu hata kama yupo darasa la pili, hawezi kukwambia shikamoo, atakwambia Salam aleykum. Nina experience na hili, na nimelifanyia utafiti wa kutosha. Na wala sina shida na hilo. Ni halali kabisa.
Wao wenye kujua chimbuko la lugha ya kiswahili ambayo ndani yake kiarabu kina mchango mkubwa, hawaitumii shikamoo, sisi tumeikumbatia. Dubai, Saudia mpaka Yemen, kote huko huwezi kukutana na shikamoo, na bado tunaambiwa ni neno la kiarabu.

Waama! Tuna kipaji kikubwa cha kukumbatia mambo yasiyo na maana!

Katika lugha zote duniani, hata za makabila yetu salamu haitenganishi wala kubagua umri wa mtu. Salamu inapaswa kuunganisha watu. Sio kutisha watu na kuwapa kibarua cha kukadiria umri za watu. Kikubwa ni heshima na namna ya kuitoa. Vinginevyo, salamu ina kazi moja tu, ya kujuliana hali na kutakiana heri. Kuendelea kutumia shikamoo ni kukuendelea kukumbatia na kuenzi utumwa. Kimsingi ni salamu inayopaswa kuwekwa kwenye makumbusho ya taifa.

NAMAZILIA...

Wakati fulani nikawa nimepanga nyumba fulani, na jirani yangu alikuwa kijana mmoja tuliyekuwa tukiheshimiana sana. Ingawa alikuwa na mke na watoto wawili, bado mimi nilikuwa mkubwa kwake kiumri pamoja na kuishi kibachela. Na hatukuacha kuheshimiana.

Siku moja, kijana huyo akatembelewa na mama yake mzazi. Kwa umri wangu na kukadiria umri wa mama yake, sikuona kama nilikuwa na sababu ya kumpa shikamoo. Nikawa namsalimu kwa adabu kabisa, lakini kwa salamu za kawaida mbali na shikamoo.

Kumbe kijana akaonea namkosea adabu mzazi wake. Na sijui kama walijadiliana na mama yake au la! Lakini inaonesha siku hiyo alininywea pombe na kuamua kuja kunichana, kwanini namchukulia poa Bi mkubwa wake? Kwanini simwamkii kama wapangaji wengine? Nilisononeka kwa kweli, lakini sikumuacha na ujinga wake.

Nikamuuliza kistaarabu, mama yake ana miaka mingapi? Akanijibu 54. Na yeye? Akanambia alikuwa na miaka 32. Nikamfahamisha kuwa mimi nilikuwa na miaka 45... miaka 13 pungufu yake. Nikataka kujua, kwanini mimi alikuwa haniamkii shikamoo? Akaacha mdomo wazi.

Nikaenda mbali kwa kumjuza kuwa dada yangu wa kwanza ana miaka 62 na huwa tunasalimiana kikawaida bila kuingiza shikamoo. Kwa hivyo hata mama yake ni kama dada yangu!
Aliondoka akiwa anasonya, na tangu siku ile hakunichangamkia tena!

Japo nilimpuuza na kumhurumia lakini nilijiuliza sana, huu utumwa wa salamu ya shikamoo utaendelea kututesa na kuharibu ujamaa wetu hadi lini? Je, sio muhimu sasa tukaamua kuachana na zama za shikamoo ya nipo chini ya miguu yako? Natamani kiongozi mkuu atoe tamko!

Kuna kila sababu ya kureview upya hii salamu. Tusije tukawa kwenye kifungo cha kukiri utumwa bila kujitambua. Shime sasa!

#Mentalslavery

Sent from my Infinix X697 using JamiiForums mobile app
Asante sana bro,,,napendekeza maandamano ya amani nchi nzima kushinikiza viongozi watoe tamko ili kufuta matumizi ya salamu ya SHIKAMOO,,,,N.B na marahaba ina maana gani?
 
Well said and noted, hii imekaa vibaya, mambo ya shikamoo sijui nini, haiko poa. Kusema tuiache mazima, nadhani itakuwa ngumu maana ni sehemu ya utamaduni tulioukuta ktk jamii zetu. Ndio maana ktk civics kuna kipengele kinasema miongoni mwa characteristics of culture is complex. Ila kwa baadae sana huenda ikapungia salaam za aina hii.
 
Kwani neno shikamoo kwa watu Morogoro usalimia shikamo nineno la kiarabu?au kibamtu
 
Mimi baada ya kufika mjini, nikamuona mama fulani hivi umri sawa na mama yangu mzazi.
Mimi: Shikamoo mama
Mama mwenyewe sasa: Shika yako, yangu niachie!
nikasema yes nimepatikana.
yalishawahi kumtokea rafiki yangu wa kiume alipomsalimu mama mmoja mbele ya yangu.
 
Back
Top Bottom