Salamu ya Lowassa kwa wananchi ni kejeli?

Salamu ya Lowassa kwa wananchi ni kejeli?

Kwel elimu kwanza viwanda baadae mm hapo hoi.
 
Pombe mwisho wake vilabuni, uongozi wa nchi ni EDWARD NGOYAI LOWASA

"Umaskini wa Akili ni mbaya sana, unaweza kubadilishana na tapeli ukampa almasi , akakupa kipande cha chupa ukashangilia kama zuzu" Mwl Nyerere 1995.
Mnaomshabikia Lowasa mmepewa chupa na mnashangilia kama mazuzu!!
 
Huo ndio ukweli halisi. Hatua tatu mbele halafu sita nyuma.
 
Ukakasi unakuja pale uyo anayetuhubiria kutaka kuuondoa uo mfumo then hapo hapo anausifia na kurahishwa na huo mfumo. Shida ndio inaanzia hapo

Huwa waliokutangulia hawakanwi hadharani, hata mzazi wako akiwa mkosa unamkana kwa matendo yako mazuri, si kumtukana hadharani, Tafakari rekodi na nia ya ndani ya kila mgombea - liganiosha Magufuli na Lowasa utakuwa na jibu
 
Ukiwasha ni kelele inamaanisha watu wameridhika na muziki, na ukizima ni utulivu inamaana watu wamekula wamekunywa na wamecheza sasa wanapumzika wameridhika unasemaje we gulio?

Ruhusu akili kufikiri mkuu, ulianzia 0 degree ukamalizia 0 degree.
Ebu washa redio uzime mda huohuo kuna any changes?
 
Mungu wa mbinguni katika jina kuu la Yesu AKUREHEMU na kukusamehe
sina ushauri mwingine kwako. siasa ni kitu kinachokufanya uongope kwa lazima na kuingia motoni bila kupenda,

you meant amsamehe na kumrehemu Lowasa? .... if so you are right!
 
hizi hesabu kama zinagoma..
Kwa mujibu wa NEC
*idadi ya wapiga kura
=mil 22.7
*idadi ya vituo vya kupigia kura
=64736
*idadi ya wapiga kura kila kituo =450.
HAPA UKIKOKOTOA JUMLA YA WAPIGA KURA
=64736X450
=mil 29.1

watz tumekwisha.kiingereza hatukijui sasa kiswahili nacho kinatupiga chenga. utafikiri tunajenga mnara wa babeli? mzee lubuva kasema kituo kimoja kinaweza kuhudumia watu kati ya mia4 hadi mia 5 . ina maana kituo kinaweza kuhudumia kuanzia mtu mmoja hadi mia 5. sasa hiyo biashara ya kuzidisha mia 450 mara vituo zaidi ya elfu 60 imetoka wapi kama siyo kukurupuka? tuache hamu ya kutaka kukaanga yai kabla halijatagwa.
 
Angalia salamu maalum ya Lowassa - Wanasema: Mabadiliko Lowassa.... then Lowassa mabadiliko. Mikono inavyozungushwa inaonesha kwenda mbele kisha kurudi nyuma, hii ina maana gani?

Ebu jaribu kuzungusha kitufe cha sauti cha redio - toka chini hadi mwisho na kurudi tena chini , utakuwa umewasha Redio kisha na kuzima.
Au nenda clockwise then rudi anticlockwise the same degree, hatua ngapi utakuwa umepiga?

Kifupi: Lowassa anajua hawezi kufanya kazi - amechoka mwili na akili, ndio maana hata anachanganya mambo kila uchao.

Hii salamu yake ni kuwaambia wajinga nawazungusha mbele na nyuma, mnarudi pale pale.

Kifupi hii ni kejeli.
Yeye anaelewa.hajawahi vingirisha mikono yake
 
umeandika nini? Ebu rushida akiri umetia aibu
 
Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania achilia mbali udhoofu wake kiafya na kifikra.
 
Magufuli alizungusha hiyo salamu mara 50. Kwa hiyo ataturudisha nyuma kuliko Lowasa! Teh!
 
Wamekutuma au na hyo ni sera ktk chama chenu

avatar254446_1.gif
avatar254446_1.gif
avatar254446_1.gif
avatar254446_1.gif
avatar254446_1.gif
avatar254446_1.gif

huyo ndiye CosaNostra mmeiacha alama ya Victory kina Mtei walianakili kamakini makaileta ya kuzungusha tairi mnasema ni ya Mkwe sasa CCM, CUF au ACT msituingize huko
 
Pilipili ya Shamba yakuwashia nini??...fata mambo yako.....!!

Mimacho ya nini? Habari ndiyo hiyo. Wasi wasi wako ni nini Busbaby? Huo mzungusho ni sifuri maana hakuna muendelezo wowote. Zero toa ziro ni sawa na zero.
 
Angalia salamu maalum ya Lowassa - Wanasema: Mabadiliko Lowassa.... then Lowassa mabadiliko. Mikono inavyozungushwa inaonesha kwenda mbele kisha kurudi nyuma, hii ina maana gani?

Ebu jaribu kuzungusha kitufe cha sauti cha redio - toka chini hadi mwisho na kurudi tena chini , utakuwa umewasha Redio kisha na kuzima.
Au nenda clockwise then rudi anticlockwise the same degree, hatua ngapi utakuwa umepiga?

Kifupi: Lowassa anajua hawezi kufanya kazi - amechoka mwili na akili, ndio maana hata anachanganya mambo kila uchao.

Hii salamu yake ni kuwaambia wajinga nawazungusha mbele na nyuma, mnarudi pale pale.

Kifupi hii ni kejeli.

Kwani wewe wazee wako wakisema TWENDE MBELE TURUDI NYUMA huwa unaelewa nini?
 
Back
Top Bottom