Salamu ya Lowassa kwa wananchi ni kejeli?

Salamu ya Lowassa kwa wananchi ni kejeli?

avatar254446_1.gif
avatar254446_1.gif
avatar254446_1.gif
avatar254446_1.gif
avatar254446_1.gif
avatar254446_1.gif

huyo ndiye CosaNostra mmeiacha alama ya Victory kina Mtei walianakili kamakini makaileta ya kuzungusha tairi mnasema ni ya Mkwe sasa CCM, CUF au ACT msituingize huko

umenena vema, tulikuwa CDM enzi CDM kilipokuwa chama cha waTZ, nguvu ya Umma, Sasa CDM ni nguvuya Lowassa!
 
Unataka kusema gari zote kwa kuwa zinapaswa kwenda mbele basi ziondolewe gia za reverse? Unasema mwendesha baiskeli akichochea bike ikakubali hapaswi kuweka madoido ya kuzungusha pedeli kwa nyuma akiofia bike itarudi ilikotoka? Unasema mama lishe akitumia sufuria kisha alitupe au alioshe tena na kuritumia?

Eti nyumba iwekwe ngazi za kwenda juu ila kushuka ziondolewe!

Sifuri haina thamani ikikaa peke yake. Ila ukifika namba tisa kama unataka kuendelea mbele sharti urudi nyumba kuchukua sufuri yako ili upate 10. Ndio ulivo mzunguko wa salamu ya rais Lowasa
 
Back
Top Bottom