CosaNostra
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 382
- 139
- Thread starter
- #21
Lowasa ni rais wa JMT
Akili kiduchu ukitoa yote matokeo ndio haya.
Lowasa ni rais wa JMT
Angalia salamu maalum ya Lowassa - Wanasema: Mabadiliko Lowasa.... then Lowassa mabadiliko. Mikono inavyozungushwa inaonesha kwenda mbele kisha kurudi nyuma, hii ina maana gani?
Ebu jaribu kuzungusha kitufe cha sauti cha redio - toka chini hadi mwisho na kurudi tena chini , utakuwa umewasha Redio kisha na kuzima.
Au nenda clockwise then rudi anticlockwise the same degree, hatua ngapi utakuwa umepiga?
Kifupi: Lowassa anajua hawezi kufanya kazi - amechoka mwili na akili, ndio maana hata anachanganya mambo kila uchao.
Hii salamu yake ni kuwaambia wajinga nawazungusha mbele na nyuma, mnarudi pale pale.
Kifupi hii ni kejeli.
jibu hoja ukiwasha radio na kuizima, what next?
jibu hoja ukiwasha radio na kuizima, what next?
Akili kiduchu ukitoa yote matokeo ndio haya.
Majizi mwaka huu mtaozea icc
Lubuva anataka aozee icc mwaka huu
wewe kidogo unajadili hoja .... kumbuka mfumo unawekwa na watu na kuondolewqa/kubadilishwa na watu.Na wewe jiulize hili. Magufuli anajinadi kuwa akichaguliwa ataenda ifumua sisiemu na anaxidi kusema mabadiriko ya kweli yanatoka kwake lakini akimaliza tu kuongea inapigwa nyimbo ina baadhi ya maneno haya; "ccm ni ile ile ooh ni ile ile" na mafuli anaucheza huo wimbo na kufurahi kabisa. Sasa jiulize kama wanajinadi ccm ni ile ile tena wanaongeza wao ni mbele kwa mbele, uyo Mr Pombe anaenda ibadiri ccm ipi au ataunda chama chake kipya nje ya ccm? Ni mabadiriko gani ayo anayoyazungumzia Pombe wakati wanasema ccm ni ileile maana yake ayo mabariko wayaongeayo ni hewa tu na danganya toto
kwani kaka wewe mfuasi wa Gwajima? jibu mbona haliendani na hoja?Nenda kabugie makande
wewe kidogo unajadili hoja .... kumbuka mfumo unawekwa na watu na kuondolewqa/kubadilishwa na watu.
Hiyo salam ya mabadiliko kaitunga kamanda wa anga mbowe na magufuri kaiga mabidiriko iko chadema kabla ya lowasa ndio ile M4C kama haujui movement for change, yani vuguvugu la mabadiriko ili la lowasa tumeliingiza tatizo watu wa lumbumba mmechanganyikiwa hata uwezo wenu wa kufikiri umeshuka sana
hizi hesabu kama zinagoma..
Kwa mujibu wa NEC
*idadi ya wapiga kura
=mil 22.7
*idadi ya vituo vya kupigia kura
=64736
*idadi ya wapiga kura kila kituo =450.
HAPA UKIKOKOTOA JUMLA YA WAPIGA KURA
=64736X450
=mil 29.1
Tukuulize wewe sehem yenye kituo kinawapiga kura 800 je? wengine hawatapiga kura? hapa pana kitu hapa sio bureHiv mpaka hesabu zinawashinda..? Nini maana ya wapiga kura wasizid 450 kwa kila kituo..? Je sehemu yenye wapiga Kura 80 wasipewe kituo..?
wewe kidogo unajadili hoja .... kumbuka mfumo unawekwa na watu na kuondolewqa/kubadilishwa na watu.