Salamu ya Lowassa kwa wananchi ni kejeli?

jibu hoja ukiwasha radio na kuizima, what next?

Ukiwasha ni kelele inamaanisha watu wameridhika na muziki, na ukizima ni utulivu inamaana watu wamekula wamekunywa na wamecheza sasa wanapumzika wameridhika unasemaje we gulio?
 
Angalia salamu maalum ya Lowassa - Wanasema: Mabadiliko Lowassa.... then Lowassa mabadiliko. Mikono inavyozungushwa inaonesha kwenda mbele kisha kurudi nyuma, hii ina maana gani?

Ebu jaribu kuzungusha kitufe cha sauti cha redio - toka chini hadi mwisho na kurudi tena chini , utakuwa umewasha Redio kisha na kuzima.
Au nenda clockwise then rudi anticlockwise the same degree, hatua ngapi utakuwa umepiga?

Kifupi: Lowassa anajua hawezi kufanya kazi - amechoka mwili na akili, ndio maana hata anachanganya mambo kila uchao.

Hii salamu yake ni kuwaambia wajinga nawazungusha mbele na nyuma, mnarudi pale pale.

Kifupi hii ni kejeli.

kwani alselema ina maana gani?
 
hizi hesabu kama zinagoma..
Kwa mujibu wa NEC
*idadi ya wapiga kura
=mil 22.7
*idadi ya vituo vya kupigia kura
=64736
*idadi ya wapiga kura kila kituo =450.
HAPA UKIKOKOTOA JUMLA YA WAPIGA KURA
=64736X450
=mil 29.1

Hizi siyo dalili njema kwa tume hii ya uchaguzi ambayo hakuna anaeiamini zaidi ya ccm..huu ni mwanzo wa bao la mkono laivu kabisa....tuwe makini
 
Angalia salamu maalum ya Lowassa - Wanasema: Mabadiliko Lowassa.... then Lowassa mabadiliko. Mikono inavyozungushwa inaonesha kwenda mbele kisha kurudi nyuma, hii ina maana gani?

Ebu jaribu kuzungusha kitufe cha sauti cha redio - toka chini hadi mwisho na kurudi tena chini , utakuwa umewasha Redio kisha na kuzima.
Au nenda clockwise then rudi anticlockwise the same degree, hatua ngapi utakuwa umepiga?

Kifupi: Lowassa anajua hawezi kufanya kazi - amechoka mwili na akili, ndio maana hata anachanganya mambo kila uchao.

Hii salamu yake ni kuwaambia wajinga nawazungusha mbele na nyuma, mnarudi pale pale.

Kifupi hii ni kejeli.
You are a philosopher. It is their time to eat. Hakuna kingine!
 
hizi hesabu kama zinagoma..
Kwa mujibu wa NEC
*idadi ya wapiga kura
=mil 22.7
*idadi ya vituo vya kupigia kura
=64736
*idadi ya wapiga kura kila kituo =450.
HAPA UKIKOKOTOA JUMLA YA WAPIGA KURA
=64736X450
=mil 29.1

uko sahihi mkuu...wanazid kujiumbua wenyewe
 
hizi hesabu kama zinagoma..
Kwa mujibu wa NEC
*idadi ya wapiga kura
=mil 22.7
*idadi ya vituo vya kupigia kura
=64736
*idadi ya wapiga kura kila kituo =450.
HAPA UKIKOKOTOA JUMLA YA WAPIGA KURA
=64736X450
=mil 29.1

Hii je imekaaje.

idadi ya watanzania 47 milioni.

Vijana chini ya miaka 17 wapo 23 milioni. (0 yrs to 17 yrs). 45 % ( hawaruhusiwi kupiga kura)
wazee zaidi ya miaka 65 (1.5 milion) 2.9% ( wengi wao hawakuandikishwa kwenye daftari jipya).

Kuna wafungwa 47000 ( hawaruhusiwi kupiga kura)
waliokuwa wagonjwa na mahututi kipindi cha kuandikisha daftari (....).
Walio kuwa nje ya nchi kwa kipindi cha uandikishaji.(...)
Walio kwenye maeneo yasiyofikika kirahisi (...)

ALAFU WAMEFANIKIWA KUANDIKISHA WATU MILIONI 21 ?

sisi kina gogo la shamba tunapata shida pale makufuli anapotuambia mabadiliko alafu anacheza mziki wa ccm ni ileile
 
Hivi wewe na akili zako uzungushe mikono, huku ukisema lowasa, ni akili au matope, ina maana unajizungusha na maisha bila kujitambua, eti mabadiliko, mabadiliko yapi na fisadii!!
 
sisi kina gogo la shamba tunapata shida pale makufuli anapotuambia mabadiliko alafu anacheza mziki wa ccm ni ileile
Mwenye akili timamu tu ndo anaweza elewa hili, mfano mbunge wa zamani wa bagamoyo aliahidi nini kabla na ikawa vipi?????

AMAKWELI SISIEMU NI ILE ILE, HAKUNA NA WALA HAKUTAKUWA NA JIPYA
 
Angalia salamu maalum ya Lowassa - Wanasema: Mabadiliko Lowassa.... then Lowassa mabadiliko. Mikono inavyozungushwa inaonesha kwenda mbele kisha kurudi nyuma, hii ina maana gani?

Ebu jaribu kuzungusha kitufe cha sauti cha redio - toka chini hadi mwisho na kurudi tena chini , utakuwa umewasha Redio kisha na kuzima.
Au nenda clockwise then rudi anticlockwise the same degree, hatua ngapi utakuwa umepiga?

Kifupi: Lowassa anajua hawezi kufanya kazi - amechoka mwili na akili, ndio maana hata anachanganya mambo kila uchao.

Hii salamu yake ni kuwaambia wajinga nawazungusha mbele na nyuma, mnarudi pale pale.

Kifupi hii ni kejeli.

Akili kama ya kondoo
 
Samahani sana kwa kutoa hii

Tambua katika maisha kujua mbinu za wizi na husikamatwe ni ujuzi na elimu lakini kujua namna ya kuzuia wizi ni ujuzi na elimu zaidi.

Hapa chini nawaletea ‘kuntu’ wizi wa kura unavyofanyika na namna ya kuuuzuia.(Utaratibu huu unatumiwa na nchi mbalimbali duniani

Zipo mbinu nyingi lakini leo nitaongelea mbinu moja nay a kipekee inayotegemewa kw asilimia 85 maana nyingine ni pata potea.

Vituo hewa vya kupigia kura.
Hivi vipo tayari katika orodha ya vituo vya kupigia kura na vina wapiga kura hewa,hata vyama nje ya kile chama chetu hawajui huu mchezo utakavyochezwa.

Kosa kubwa hapa wafuasi wa vyama wao wanaongelea suala la kulinda kura,hilo halisaidii kuzuia hii mbinu.

Kinachofanyika.
Kwa mfano kata moja ya Mwanakuja katika jimbo la Kyelwa kuna vituo 8 kati ya hivyo nane vituo 4 ni hewa vya Maganzo,Twila,Kulele na Mutwi katika jimbo la Kyelwa,Vyama vitajikita katika kuweka mawakala katika vituo 4 halali bila kujua kuwa kuna vituo vingine 4 hewa.

Hivyo vituo hewa vimepewa wasimamizi hewa,walinzi hewa,mawakala hewa nk,vitapigiwa kura ofisini na kuandika matokeo ya hivyo vituo na kutoa takwimu za wagombea wote kulingana na walivyogombea lakini hapa mlengwa ni wa chama Fulani.

Wakati wasimamizi ‘HALISI’ wakirejesha matokeo ya takwimu kutoka vituo vyao kwa mkurugenzi tayari watakuta na wasimamizi ‘FEKI’ wamekwisha ejesha takwimu kutoka vituo FEKI.Mkurugenzi atajumlisha.Kabla ya kupiga kura mgombea X atakuwa na kura 0 huku Y akiwa na kura 2,000 katika kata.

Kazi hii ya kupigisha kura hizi bandia itaanza kufanyika October 22-24.kabla ya kupiga kura October 25.

Namna ya kudhibiti huu Wizi.
Wawakilishi wa vyama ni kupata IDADI halisi ya vituo katika kata na kuvitambua vyote kwa majina,wakipewa orodha husika iwe imesainiwa na mkurugenzi kuwa hivyo ndo vituo halali.

Utaratibu ukibadilika nitawajuza

Share mpaka iwafikie mawakala wa Ukawa: Viongozi wa Ukawa: Nec na mafisisiem
 
Angalia salamu maalum ya Lowassa - Wanasema: Mabadiliko Lowassa.... then Lowassa mabadiliko. Mikono inavyozungushwa inaonesha kwenda mbele kisha kurudi nyuma, hii ina maana gani?

Ebu jaribu kuzungusha kitufe cha sauti cha redio - toka chini hadi mwisho na kurudi tena chini , utakuwa umewasha Redio kisha na kuzima.
Au nenda clockwise then rudi anticlockwise the same degree, hatua ngapi utakuwa umepiga?

Kifupi: Lowassa anajua hawezi kufanya kazi - amechoka mwili na akili, ndio maana hata anachanganya mambo kila uchao.

Hii salamu yake ni kuwaambia wajinga nawazungusha mbele na nyuma, mnarudi pale pale.

Kifupi hii ni kejeli.

Wanafurahia kuuzwa kwa tajiri wa Richmond, hicho unachosema ni sahihi kabisa, make wao wamezibwa midomo na macho- ila baada ya uchaguzi watajua ulichoandika hapa.
 
Angalia salamu maalum ya Lowassa - Wanasema: Mabadiliko Lowassa.... then Lowassa mabadiliko. Mikono inavyozungushwa inaonesha kwenda mbele kisha kurudi nyuma, hii ina maana gani?

Ebu jaribu kuzungusha kitufe cha sauti cha redio - toka chini hadi mwisho na kurudi tena chini , utakuwa umewasha Redio kisha na kuzima.
Au nenda clockwise then rudi anticlockwise the same degree, hatua ngapi utakuwa umepiga?

Kifupi: Lowassa anajua hawezi kufanya kazi - amechoka mwili na akili, ndio maana hata anachanganya mambo kila uchao.

Hii salamu yake ni kuwaambia wajinga nawazungusha mbele na nyuma, mnarudi pale pale.

Kifupi hii ni kejeli.

Mungu wa mbinguni katika jina kuu la Yesu AKUREHEMU na kukusamehe
sina ushauri mwingine kwako. siasa ni kitu kinachokufanya uongope kwa lazima na kuingia motoni bila kupenda,
 
Ni jambo jema kuwa unayafuatilia sana ya ukawa na lowassa
 
Angalia salamu maalum ya Lowassa - Wanasema: Mabadiliko Lowassa.... then Lowassa mabadiliko. Mikono inavyozungushwa inaonesha kwenda mbele kisha kurudi nyuma, hii ina maana gani?

Ebu jaribu kuzungusha kitufe cha sauti cha redio - toka chini hadi mwisho na kurudi tena chini , utakuwa umewasha Redio kisha na kuzima.
Au nenda clockwise then rudi anticlockwise the same degree, hatua ngapi utakuwa umepiga?

Kifupi: Lowassa anajua hawezi kufanya kazi - amechoka mwili na akili, ndio maana hata anachanganya mambo kila uchao.

Hii salamu yake ni kuwaambia wajinga nawazungusha mbele na nyuma, mnarudi pale pale.

Kifupi hii ni kejeli.

Your argument is impeccable. Lowassa is in fact making one step forward and two steps backwards
 
Back
Top Bottom