Salamu Toka kwa Erickb52

We nae, uliacha maini ukakimbilia mapafu.
Hivi kuna supu ya mapafu ya kuku kweli??

Ngoja nikilie paja, kipapatio marfuku mie
Hehehee hiyo lazma itakuwa kule Singida kwa kuku wa kienyeji na itakuwa inanyweka na wazee tu na Bibis
Hebu muuliza Mtambuzi kama katika umri wake keshawahi kuiona
 
Last edited by a moderator:

Wewe Erickb52 na Amyner unamuachia nani huku unamuania The secretary na BADILI TABIA japo kwa siri King'asti huyo Erickb52 asikuchemshe wala nini
Ana ntumba ndogo kama utitiri na bado Remmy na cacico anawataka na sweetlady pia
sasa huto si ni karibia king mswati
 
Last edited by a moderator:
Arushaone eti una kesi na wewe ya kuwawania wake za watu Erickb52 mimi sina kosa bana anazunguka mno kama pia sasa kama kila siku yuko kiguu na njia mara kwa KARIA, Asprin, Mentor, Kaizer, Bishanga, Arushaone sasa hiyo haki kwangu anataka ya nini tena
ndo maana nilimuomba mwanasheria ruttashobolwa anisimamie kesi yangu aise ya kudai talaka Mentor sina mpango huo mkuu ila naona nyendo zako hazijakaa sawa kabisa
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…