Salamu Toka kwa Erickb52

52 mambo vipi mdogo wangu?
Btw mi mbona nipo sana kwa busati !
Unajua utulivu muda huu sinao ! Si wajua leo mavijana yangu ya Old Traford yako pitch na washampa Galatasary kib*lo so ngoja tuone final whistle.
Heheheee sawa Judgement mi nimedroo aisee tena nyumbani lol inaniuma ila tutashinda tu kama kawa na kutetea kwa mara ya pili
 
Last edited by a moderator:
Mama mkwe waonaje hali yako..........Nakupa salamu toka kwenye zuria la sakafu ya moyo wangu pale ambapo inda, maumivu, presha, msongo na kila aina ya wahka haiwezi kufikia...........

Pamoja saana (source mama mkwe)
Mwambie naunganisha salamu zangu zimfikie Roulette popote alipo!
Nimemkumbuka sana!
 
Last edited by a moderator:
Kijana wangu platozoom tuko pamoja sana tu ila sina raha sijamwona Bishanga na Asprin na Kaizer ngoja nkawatafute

Asprin jirani yake kahama na lap top yake hivyo sio rahisi umwone jf siku za karibuni.........madhara ya kutumia vitu vya majirani haya!..........
Kaizer kuna mahali nimemwona anachokoza wenzie .........
Bishanga jana kalewa mpaka kazima mpaka mida hii.......chezeiya viroba wewe tena alikuwa hajakula chochote!
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 huu ni mkwara tu,
kilikukimbiza nini kwenye kazi ya kusaini ndoa mpya.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…