Salamu Toka kwa Erickb52

Nilienda nikakuta holaaaa mwenzio ndio mana sijakustua.....ila jumanne tutawakilisha..... Afu hiyo tabia ya kubadilisha signature kila kukicha umeianza lini?

Huyu hapa. Kumbe hata hajafika. Atakuwa alienda mahali!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Sweetlady ulikuwa upande gani switii sijakuona! Hizi avatar zinasababisha nakufananisha!
Filipo nilikuwa upande wa karibu na sheli .....nautizama uwanja wetu kwa uchungu .....haya nambie wanifananisha na nani?
 
Last edited by a moderator:
Filipo nilikuwa upande wa karibu na sheli .....nautizama uwanja wetu kwa uchungu .....haya nambie wanifananisha na nani?

Nilikuwa katikati ya uwanja!
Nimekufananisha na one lady who looks very sweety! I hope she was you!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…