Salamu Toka kwa Erickb52

Hehehehheheheeeee Mr Rocky unadhani Amyner ni cheap kama wakezo Yummy na yule mpya(Jina kapuni)
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Nimezipokea kutoka uwanja wa NMC. Nipo nasikitika tu hapa!
Kaka nilikuja hadi mitaa hiyo ila hali ikawa mbaya nkaja kupumzika hm ntakucheki badae unipe updates za huko
Mwambie na sweetlady nangoja muhtasali wa yalojiri kama alienda NMC
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Tumeshapata taarifa zako we Erickb52 huko mafichoni unachokifanya. Japo hukunikumbuka kwa salam lakini mimi nasema ahsante,

ujumbe: salam ni nusu ya kuonana
 
Last edited by a moderator:
Kaka nilikuja hadi mitaa hiyo ila hali ikawa mbaya nkaja kupumzika hm ntakucheki badae unipe updates za huko
Mwambie na sweetlady nangoja muhtasali wa yalojiri kama alienda NMC

Nilienda nikakuta holaaaa mwenzio ndio mana sijakustua.....ila jumanne tutawakilisha..... Afu hiyo tabia ya kubadilisha signature kila kukicha umeianza lini?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…