Wacha tu Madame B my YFU ila usiseme kwani wambea wataanza....... Ila wewe mkali aisee. He nimejisahau nikasema kwa nguvu eeeh. Nway nitakamilisha ahadi yangu nikitulia. Nitakustua nikimaliza. OK sweet? OK.
Jamani na kukaa kote jana?
Halafu Blaki womani mbona simuoni?
Mtafute bhana.
Mmmmmmmhhhhhhhhhh
Jamani na kukaa kote jana?
Halafu Blaki womani mbona simuoni?
Mtafute bhana.
Heeeh! Kumbe na wewe ulikuwepo!
Rutta wangu huyo!!!
Waooooo!!!
Pole na kazi baba,
Afu leo umechokachoka.
Nani kakuudhi kipenzi?
Usihadaike na rangi wangu,tamu ya chai sukari.
Ngoja nikakuletee Maziwa.....
We ulikuwa unamsikiliza yule wa pembeni?
Kawahadaa tu,
nilikuwa Kaunta,nime-Chill.
Usikute ndio wewe nilikutongoza ukaniambia unamsubiri mtu! Duh.....!? Nilifanya timing mbovu ukanywa toti mbili hivihivi....!?
Thanx wangu!
teh teh teh teh teh,
Mtatongoza mpaka majini mwaka huu.
Hapana yule sio mimi.
Mimi nilikuwa huku kwenye kagiza.
Si mlikuwa wana CC 5?
Anyway,mambo vp lakini?
Uuuuuhu! Afadhali sio wewe. Nilihofu sana maana Blaki Woman angejua!
Hahahaaaa hata mi nashangaa tunagombania nini wakati huyu ni ndugu yetu. Mamndenyi ni bora Judgement aje atusaidie na beibe nasty mwenyewe aje aseme kinachiendelea kwa TANMO maana hatumjui sisiNin teana mtu na shemeji
Heheheeeee kijana anataka kumpindua ruttashobolwa huyu lol Madame B una kazi sana aiseeErickb52,
Umeyachokoza mambo hukuuuuu!!!!
Hahahaaaa hata mi nashangaa tunagombania nini wakati huyu ni ndugu yetu. Mamndenyi ni bora Judgement aje atusaidie na beibe nasty mwenyewe aje aseme kinachiendelea kwa TANMO maana hatumjui sisi