Nataka ile waliokuja na wale Chipmunks wakike watatu.
Nitaipata wapi?
Mme wangu anaililia,hata kula hataki.
Lol...!!
Mentor mambo?
Mentor tuonane kesho ntakuwa niko fit naona inabidi nikaongee na ruttashobolwa kuweka mambo sawa
Aaah hiyo ni ya pili..i have it! nnayo kwenye CD..heheh this means lazima untafute! I like it...umezidi kunipiga date!!!
Tena ntakupa bonus ya ile ya Alvin & the chipmunks - chipwrecked!
Leo mnajenga lami ipi!??
Alafu wakili wangu unamtafutia nini??
ngoja kwanza.. Madame B malipo ya movi hizo ni unitafutie wakili wa kike!
Mentor acha hzo.
Si uje kuniletea?
Me ntakuwa ng'ambo,
si unajua siruhusiwi kukanyaga majumba ya Mabachela?
Hahahahahahaha
Acha hizo date si bado haijafika?
Heheh..ebu pitia maujumbe yangu yote..kuna ambayo nimekuambia uje kwangu au unataka nionekane mbaya!??
Apo no excuse....Look for me mamii...btw niko siriaz i have those movies kavp ntafutege!
Poa,
hapo bold nani akuone m-baya?
Poa nitakuchek.
We hujui!??
Erick nitake radhi kabla sijakusababishia BAN
Njoo chemba.
Au hujajisababishia mwenyewe!lol:evil:
Hujaulizwa wajibu ukiulizwa itakuwaje????