Neema William
Senior Member
- Jan 3, 2012
- 171
- 76
Tupo mahakama kuu kanda ya Tabora hivi sasa , watuhumiwa wote watano wapo hapa mahakamani , na muda huu hapa nilipo nipo nazungumza na Henry Kilewo kwani jaji bado hajafika ndani ya mahakama.
kilewo kanituma niwape salamu hizi kuwa anawapenda sana na wala msikate tamaa ipo siku atakuwa nanyi uraiani, yupo salama kabisa na afya njema makamanda wote msikate tamaa, nipo naye hapa ila sema haruhusiwi kuandika salamu hizi , amenituma nifanye hivi kwa niaba yake.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki watanzania, Mungu ibariki CHADEMA