acha ujinga ww, unamwombea muuaji wa nn? Afie mbele huko hata huyo waliyemjeruhi naye anahitaji huruma. Tumuombee huyo tu
Unatuletea ujinga wa mhalifu hapa bana. Apigwe mvua za kutosha muuaji huyo
ndo lile gaidi nambari moja tanzania!
Yupo uyuiYupo Gereza gani, kwa Zuberi au Uyui? Dah!Magereza yalivyochoka yale sijui anaishije kule huyu mtu duh!!
Nyekundu si kweli...Ni zimbabwe!
Wengi tutafugwa,tutapigwa lkn saa ya ukombozi imewadia tusikate tamaa.peeeeeeeeepoz!!!!!:-!:-!:-!:-!:-!:-!:-!:-!:-!:-!:-!:-!:-!:-|:-|:-|:-|:-|:-!:-|
acha ujinga ww, unamwombea muuaji wa nn? Afie mbele huko hata huyo waliyemjeruhi naye anahitaji huruma. Tumuombee huyo tu
Machadema huwa yana angalia upande mmoja tu
Mungu amjalie afya njema,Wafitini waaibike mchana kweupee!
acha ujinga ww, unamwombea muuaji wa nn? Afie mbele huko hata huyo waliyemjeruhi naye anahitaji huruma. Tumuombee huyo tu