Salamu kutoka kwa Henry Kilewo

Salamu kutoka kwa Henry Kilewo

rudia rudia kusoma utaelewa,sisi tulioenda shule enzi za Nyerere tushaelewa.
hiki kisomo chako cha mlugo hadi upewe maelezo kibao ndio uelewe?
Hahaha hahaha hahaha mkuu ukiona mtu ni mzito kuelewa juwa huyo ni gamba...magamba ni mazito mno kuelewa..aijui kafuata nini kwa thread ya makamanda
 
mpe big hi kamanda wetu, haki huwa inacheleweshwa tu!!

muuaji huyo alaaniwe kabisa na awaseme wenzake na mabwana zake wanamfadhili na kumtuma kuuwa watu kwa njia ya tindikali
 
Yupo Gereza gani, kwa Zuberi au Uyui? Dah!Magereza yalivyochoka yale sijui anaishije kule huyu mtu duh!!
 
acha ujinga ww, unamwombea muuaji wa nn? Afie mbele huko hata huyo waliyemjeruhi naye anahitaji huruma. Tumuombee huyo tu

we umejuaje kuwa ni mharifu kwani we ni hakimu?au ndiyo ushabiki tu bila kutumia ubongo
 
muuaji huyo alaaniwe kabisa na awaseme wenzake na mabwana zake wanamfadhili na kumtuma kuuwa watu kwa njia ya tindikali

Jitahiditahidi huenda Riz-one atakuona na kukutumia kama Container maana ukiachilia yaliyokufa, mengine yamekamatwa huko South kwahiyo jamaa nasikia ana upungufu wa makontena kwasasa.
 
ndio leneywe ona magaidi yenzake yanavyolishangilia liuwaji

hivi umefika mahakamani kwa ajili ya kutoa huo ushahidi wako au una ujasiri kwa sababu upo mbele ya kioo cha simu/pc yako. Huoni kama na wewe utakuwa sehemu ya ugaidi kama utaacha kutoa huo ushahidi wako kuwa mhusika ni gaidi pasina shaka?
Au mahakimu wanaoongoza hyo kesi wamekupo amri ya kutolea ushahidi wako jf. Si kwamba nakupinga ila pia si kwamba namtetea kilewo ila napata shida kuona mtu mwenye ushahidi haujitokezi kuuweka wazi ili haki ipatikane! Au pengine umefurahishwa na alichofanya huyo gaidi na wenzake kwa Tesha? Nenda mahakamani toa ushahidi wako wa kumwita kilewo gaidi utakuwa umesaidia si mahakama tu hata jamii kwa ujumla ambayo yumkini ingekuja kudhurika na huyu gaidi.
Vinginevyo nyie mnaojaza seva za JF hampo tayari kupeleka ushahidi wenu ktk sehemu husika ni UPEPO UVUMAO NA UPATU ULIAO MJITEKENYAO NA KUCHEKA WENYEWE.
 
Tupo mahakama kuu kanda ya Tabora hivi sasa , watuhumiwa wote watano wapo hapa mahakamani , na muda huu hapa nilipo nipo nazungumza na Henry Kilewo kwani jaji bado hajafika ndani ya mahakama.

kilewo kanituma niwape salamu hizi kuwa anawapenda sana na wala msikate tamaa ipo siku atakuwa nanyi uraiani, yupo salama kabisa na afya njema makamanda wote msikate tamaa, nipo naye hapa ila sema haruhusiwi kuandika salamu hizi , amenituma nifanye hivi kwa niaba yake.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki watanzania, Mungu ibariki CHADEMA

Asante sana na mpe Henry salamu nyingi kutoka kwa wanamageuzi wote nchini kwamba tunamuombea salama; tunajua anateseka kwa niaba yetu na kwamba yeye ni Steve Biko wetu, apige moyo. Konde, avumilie shida zote akijua FREEDOM is coming tomorow. Henry keep your head up and beam your biggest smile 'cause it is a big inspiration to your family and all of us in CDM. Viva Henry,Viva CDM,aluta continua!
 
Kama post haikuhusu iache. Ujinga ni wewe mwenyewe. Hapa kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake na si lazima uyakubali wewe. Alimuua nani? Mnapandikiza chuki na hamtaafika mbali. Kila ovu lenu litakuwa wazi upenuni! Na watanzania wa leo si wale wa jana na juzi. Take it easy, and never comment my posts. Never. Pita post zangu mbali kama yale mabomu yao!!! Ha ha ha!!
Khaa!!! :help:
 
Back
Top Bottom