masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,827
- 16,914
rafu raida ina vipele pele hiviZipo, ila watu wengi naona wanatumia maNOT FOR SALE YALE YANAYOPASUKA ama Rafu raida😝😝😝
hahaha
rafu raida ina vipele pele hiviZipo, ila watu wengi naona wanatumia maNOT FOR SALE YALE YANAYOPASUKA ama Rafu raida😝😝😝
rafu raida au ipi?Mzee zinapasuka hizo, miaka ya nyuma sana huko 2011.. Nilikuwa natafuna mfupa, ghafla ikapasuka ila nikaendelezeaa humo kwa mumo tena mala mbili zimeishawahi kupasuka pwaa
Salama condoms pamoja na Dume condoms zilikuwa ni zao la US AID , Baada ya siasa chafu za kuuwa na kuteka , kukamata hovyo na msimamo wa Rais wa Tanzania kuhusu uzazi wa mpango ( fyatueni tu ) , USA ikaamua kujiondoa kusaidia jambo hilo nchini Tanzania , kuna mkakati wa kujiondoa pia kwenye ARVSWakuu naulizia hizi condom pendwa ambazo zipo very effective na bei yake wanyonge wengi wanaimudu. Nimezitafuta sasa niko phamarcy ya tano naona hola. Je mzalishaji/msambazaji amebadili biashara, wale wenzangu na mm mmemrejea mola wenu au ni nn kinapelekea ikaadimika sana madukani?
View attachment 1100816
rafu raida au ipi?
Ipi best kati ya raphrider, salama condm n.k mkuu?
Hazikuwa za mabeberu kweli?
Usifananishe rough rider na vitu vya kijinga mkuu hayo masalama condom yana fangasi balaaIpi best kati ya raphrider, salama condm n.k mkuu?
Aiseeeee itabidi useme vizuri, haya Mambo huwa unayatestia wapi?Usifananishe rough rider na vitu vya kijinga mkuu hayo masalama condom yana fangasi balaa
Yale ya serikali hata kwa bunduki situmii madude ya hovyohovyoRafu raidahizi hazipasuki yanayopasuka ni yale ya seikali ya MSD yameandikwa Not for sale ya kishenzi sana
AiseeeYale ya serikali hata kwa bunduki situmii madude ya hovyohovyo
Jamani weweeNilikuwa vijijini huko ni mwendo wa peku tuu, wagonjwa wengi zahanati ni wa gono. Matokeo ya maambukizi yataonekana kuanzia mwakani
Umenitisha Sana,..huko mtwara kuko salama kweli?