Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 21,651
- 43,037
- Thread starter
- #61
Kaka funguka inaonekana una mengi moyoniSalama condoms pamoja na Dume condoms zilikuwa ni zao la US AID , Baada ya siasa chafu za kuuwa na kuteka , kukamata hovyo na msimamo wa Rais wa Tanzania kuhusu uzazi wa mpango ( fyatueni tu ) , USA ikaamua kujiondoa kusaidia jambo hilo nchini Tanzania , kuna mkakati wa kujiondoa pia kwenye ARVS
Maneno ni mengi bali kwa sasa niishie hapa , kama ukiona kuna haja ya kufunguka zaidi utanistua maana yako mengi kuliko haya , kwangu ni mwiko kukalia habari
